Kinyozi wa Somalia, MWEEE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinyozi wa Somalia, MWEEE

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 15, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama atadai hela yake huyo
   
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Unamnyoa huku una mawazo mengi, maana jamaa anaweza kusema umeninyoa vibaya sikulipi.
   
 4. dunia ndivyo ilivyo

  dunia ndivyo ilivyo Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  safi sana.mwanamme unatakiwa utembee na silaha walau fimbo au kisu.lakini kama utapata mashine kama hiyo...fine.waliokwenda yemen na afghanistan ni wazoefu wa kutembea na vitu hivyo.
   
 5. pageup

  pageup Senior Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :smow: bardiiiiiiiiiiiiii mpaka jasho:biggrin:
   
 6. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,008
  Trophy Points: 280
  Old fashioned world of hooligans. Kwa dunia ya leo, mwanaume ni yule awezaye kuitunza vyema familia yake kwa kuipatie mahitaji muhimu na ustawi.

  Maisha hayo ni sawa na wanyama hayawani. Pundamilia hali majani yake kwa amani kwa hofu ya Yanga na Chui wanaorandaranda mwituni wakimuwinda.

  Nguvu ya Mungu yahitajika hapo, nisamehe kama nimeongea vitu ambavyo huelekei kuvielewa.
   
 7. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  weka jina la mnyama kabla hujachakachua uzi wa watu unaleta ushabiki kwenye mawazo ya wenzako.
   
 8. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hakuna cha ajabu hapo. Kwa wale ambao tumepitia au bado tupo jeshini tunajua kuwa ni kosa kubwa kuweka silaha uliyo nayp pembeni. Maafande walikuwa wanatuambia kuwa bunduki ni mke wako, ukilala, unalala nayo!
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Apo ukimkata lazima alikoki
   
 10. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mambo ya Ak 47 a.k.a KALASH
   
 11. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Hivi yale maduka yetu bongo wanauza hizi vitu?
  [​IMG]
   
 12. P

  Percival JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Positives : Kuna umeme , kinyozi anatumia mashini , mtu anapata ajira .
   
 13. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  well said! mwanume ni yule anayeweza kuweka watu (mke, watoto, mashemeji, wadogo, n.k) salama nyumbani kwake bila tatizo lolote! ni yule anayeweza kupiga 3 mara 2 kwa siku yaani asub unaamka na 3 na jioni unalala na 3! ni yule ambaye watoto wanajivunia kuwa na baba kama huyo! ni yule ambaye mke wake anampa full respect! anajali usalama wa food yaani food security kwenye stoo yake!
   
 14. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Kwa kinyozi akikosea akamkata sikio tuu; atajua nguvu ya kitako cha AK 47 katika ubavu wake:)
   
Loading...