MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Jamaa alikuwa na msitu nywele anaelekea kwa kinyozi. Njiani aliona mtoto wa mitaani ana nywele nyingi kuliko yake. Akamuita na kumwuliza:
Dogo unataka kunyoa nywele? Dogo akajibu ndio lakini hakuwa na pesa.
"Usijali, wewe nifate tu".
Walipofika kwa kinyozi, kinyozi akamnyoa nywele yule jamaa, alipomaliza akaanza kumnyoa dogo. Kati kati ya kazi, jamaa akasema anaenda kutafuta chenji alikuwa nahela kubwa. Kinyozi alimaliza, akabaki kumsubiri yule jamaa lakini nusu saa ilipita hakutokea.
Wewe dogo, mbona baba yako harejei?
"Hapana, sio baba yangu, mimi aliniona njiani akaniambia kama ninataka kunyoa nywele nimfate".