Kinyozi anahitajika

Kinyozi anahitajika

Mama ashura na ungozi wa mwenyumba nisaidie nimpate mpangaji wako, nawasiwasi hata aliyemuandikia barua hii hamjui vizuri!!!!!!
 
Habarini wadau,naleta mrejesho kinyozi nilimpata lakini chamoto nilikiona kwani kakimbia na hela na madeni ya chakula na kakopakopa kwa watu sana baada ya kunyoa wiki mbili kaacha kibegi cha mgongoni kuna vitu vya ajabuajabu atakaemuona anijulishe ntamalizana nae mwenyewe,najua ntampata tu,ila kwa ustarabu tu aniletee hela yangu aendelee na yake
teh teh teh, dah dunia inamengi kwakweli... Anway pole chief, ulimuamini chapchap, bt utaratibu wa ajira unaeleweka, details za muajiriwa kwa muajiri wake muhimu(full adress), kama hukufuata hayo basi nawe ni jipu
 
je anashahidi?? Au shahidi ndio barua ya mjumbe?? Maana hawa wajumbe hata ukimpa 2000 ya lunch, anakuchorea
 
teh teh teh, dah dunia inamengi kwakweli... Anway pole chief, ulimuamini chapchap, bt utaratibu wa ajira unaeleweka, details za muajiriwa kwa muajiri wake muhimu(full adress), kama hukufuata hayo basi nawe ni jipu

Kila kitu kipo kama unavyoona hapo sasa mwenyekiti ndiyo nae nataka anioneshe huyo mtu aliyemuandikia kama shayupo mtaani kwake na yeye awajibike kwani atakuwa amepewa rushwa
 
ooh for sure, maana mtu hawezi toroka kirahisi kama taharifa zake ni sahihi
 
kweli kabisa,hili ningeweza kisamehe lakini nawaswasi na barua je ilikuwa halali kwake na kama siyo basi m/kt achukuliwe hatua kuwapa fundisho!!
 
Dahhh! naona mtu huku ashaachiwa manyoya aisee
 
Habarini wadau,naleta mrejesho kinyozi nilimpata lakini chamoto nilikiona kwani kakimbia na hela na madeni ya chakula na kakopakopa kwa watu sana baada ya kunyoa wiki mbili kaacha kibegi cha mgongoni kuna vitu vya ajabuajabu atakaemuona anijulishe ntamalizana nae mwenyewe,najua ntampata tu,ila kwa ustarabu tu aniletee hela yangu aendelee na yake
Daaaaaaah! kweli ni kinyozi huyu mkuu, kakunyoa kabisa na madeni Juu!

Anyway pole sana ndugu. Issue hapo hizo particulars zake ni za kweli?
 
Aliyempa barua hiyo naimani anamfahamu zaidi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom