Uchaguzi 2020 Kinyerezi, Segerea: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. Magufuli

Mjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake ,tayar upumbavu wako upo hadharani.
we kima ndo ulianza majibu ya shombo acha kulia lia uwe unakuja kujibu hoja siyo kuanzia kutusi watu ,kafie mbele huko
 

Well said, na wala sijui kwa nini waneshikulia bango la ujenzi wa fly over - juzi hapa niliendesha gari kutoka Kurasini kwenda Tabata kupitia Mandela Rd, nilicho kiona sitakisahau - kuna msongamano mkubwa wa magari barabara ya Mandela, bottle neck ikiwa in flyover ya TAZARA hakuna kilicho badirika pale kabla na baada ya ujenzi wa flyover ya TAZARA ni vurugu tupu save traffic inayotokea mjini kwenda/kurudi uwanja wa ndege hapo hakuna tatizo lakini linapo kuja suala LA barabara ya kutoka Bandarini kwenda Ubungo, hapo TAZARA fly over haisadii kitu in vurugu tupu binafsi naona ujenzi huo ulishindwa kuzingatia mambo muhimu ya mbinu za kupunguza msongamano wa magari. Kuna tatizo pale si bure.
 
Hayo ya meya njaa sisi hayatuhusu hata Kama amehama amehama kea mapenzi yake na tumbo lake hajahama na akili zetu
 
Lofa
 
Hamyatendei haki masikio yenu maana mnayaumiza sana. Kwa nini mnamskiliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…