Uchaguzi 2020 Kinyerezi, Segerea: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. Magufuli

Mjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake ,tayar upumbavu wako upo hadharani.
we kima ndo ulianza majibu ya shombo acha kulia lia uwe unakuja kujibu hoja siyo kuanzia kutusi watu ,kafie mbele huko
 
Anachekesha kweli!!! Je, wakati alipokuwa Waziri wa Ujenzi kwanini hakukamilisha ujenzi wa barabara badala yake anang'ang'ania flyovers. Kitakachoweza kuondoa foleni ni kujenga barabara za pembezoni (feeder roads) sio flyovers. Na ujenzi wa feeder roads ndio utakuwa suluhisho sahihi kabisa kwa tatizo la foleni Dar es Salaam. Nyote ni mashahidi kwamba, pamoja na kujenga flyovers, bado tatizo la foleni ni kubwa sana. Kwa kuwa hakuna namna ya kuweza kujenga feeder roads kutokana na ukweli kuwa maeneo mengi ambako barabara hizo zingepita tayari yamejengwa majengo makubwa, tatizo la foleni Dar litaendelea kuwepo milele. Acheni kudanganywa na kuchekelea kama mazuzu.

Well said, na wala sijui kwa nini waneshikulia bango la ujenzi wa fly over - juzi hapa niliendesha gari kutoka Kurasini kwenda Tabata kupitia Mandela Rd, nilicho kiona sitakisahau - kuna msongamano mkubwa wa magari barabara ya Mandela, bottle neck ikiwa in flyover ya TAZARA hakuna kilicho badirika pale kabla na baada ya ujenzi wa flyover ya TAZARA ni vurugu tupu save traffic inayotokea mjini kwenda/kurudi uwanja wa ndege hapo hakuna tatizo lakini linapo kuja suala LA barabara ya kutoka Bandarini kwenda Ubungo, hapo TAZARA fly over haisadii kitu in vurugu tupu binafsi naona ujenzi huo ulishindwa kuzingatia mambo muhimu ya mbinu za kupunguza msongamano wa magari. Kuna tatizo pale si bure.
 
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Magufuli leo anaendelea na kampeni zake katika jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo atanadi Sera na ilani za Chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba, 28, 2020

=========
Hotuba ya Dkt Magufuli akiwa Segerea

Tunawashukuru viongozi wote wa dini kwa kuwa mstari wa mbele kuliombea Taifa hili pia namshurukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uhai.

Dkt Magufuli amesema kuwa aliekuwa Meya wa Dar es salaam kwa tiketi ya CHADEMA na kuhamia CCM amesema kuwa alipokuwa kwenye nafasi ya Umeya kazi yao kubwa ilikuwa ni kuwakwamisha wana Dar es salaam, hivyo Magufuli amewataka wananchi wajifunze kitu kutoka katika hotuba ya aliekuwa Meya na wasirudie makosa.

Magufuli amesema anaijua vyema Dar es salaam kwa kuwa maeishi miaka mingi sana Dar es salaam tangu akiwa anasoma chuo kikuu cha Dar es salaam hivyo anafahamu matatizo ya Dar es salaam hata ya wale wanaoishi mazingira magumu katika wilaya zote za Dar es salaam.

Amesema kuwa malengo yake yalikuwa ni kuzibadili wilaya zote za Dar es salaam kwa ujumla wake lakini walimchagua na kuwa kama wamemfunga miguu kwa kuchagua upande mwingine, hawakumpa uhuru wa kufanya kazi lakini leo mabadiliko yamepatikana lakini yamepatikana kwa tabu sana kwa kuwa wakwamishaji waliwaweka wao.

Anasema hata ile stendi ya Mbezi Luisi ilichukua miaka kadhaa kumpata mkandarasi lmpaka ikabidi aingilie kati kwa kulazimisha, amesema anajua wana Segerea wana UKonga wana Ilala wamejifunza vya kutosha, hivyo anaomba wampe kura za kutosha na wamchagulie wabunge na madiwani wa CCM halafu waje wamuulize ndani ya miaka mitano kitu gani kimekwama kukitekeleza.

Amesema anamshukuru baba wa taifa kwa kulijengea taifa la Tanzania utaifa na kabla alipigania uhuru na tukawa huru na kisha kufanya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuwa Tanzania, na leo tunaendelea katika utaratibu huo na tupo huru lakini amesema kuwa huru kitaifa ni jambo moja lakini kuwa huru kiuchumi ni jambo lingine.

Dkt Magufuli amesema amefanya kazi na Mzee Mkapa kwa miaka yote kumi na anafahamu kwa nini barabara hazikuwa na lami, amesema watu walikuwa wanasafiri mpaka siku tano njiani na walianza kupanga mipango ya kutatua matatizo hayo.

Amesema yeye hakujua kuwa atakujua kuwa Rais na wala hakutegemea kuja kuwa Rais na hivyo Urais ameupata bila kutumwa na mtu bila kuhonga ndio maana kauli mbiu yake ilikuwa hapa kazi tu maana kazi hiyo alipewa na Mungu kama sadaka ya kuwafanyia kazi watanzania na walipoingia changamoto zilikuwepo.

Walipoingia tu kuna maeneo yakiuwa hayana amani, ukienda Bukoba ulikuwa huwezi kusafiri mpaka usindikizwe na polisi na sasa amekomesha na mabo yameanza kuwa mazuri kwa kukomesha vitendo vya kijamzazi.

Amesema la kwanza alipoingia madarakani ilikuwa ni kuhahakisha wanajenga amani na utulivu wa nchi hii maana bila amani hakuna jamboo unaweza kulifanaya. na ndio maana anaomba miaka mingine mitano ili akakomeshe kabisa changamoto zilizokuwa zimebakia.

Amesema katika utafiti uliofanya na benki ya dunia ulisema jiji la Dar es salaam lilikuwa linapoteza bilioni nne kwa sababu ya foleni na ndio maana wakaona lazima walifanyie mkakati wa kulitatua kama ujenzi wa barabara za juu kama Ulaya na daraja la Kwa Mfugale na wataendela kuona miradi inafumka zaidi.

Amesema wajasiriamali walikuwa wanasumbuliwa na wanamgambo kwa kunyang'anywa bidhaa zao na kufukuzwa kwenye maeneo ya biashara na hivyo yeye akaona atatue tatizo hilo kwa kuanzisha vitambulisho vya mjasiriamali na kuviita vitambulishi vya Rais kwa kuwa hakuna atakae vinyanyasa na wao kwa gharama ya 20,000/= wakawa huru kufanya biashara ndani ya mipaka ya Tanzania.

Amesema hiyo gharama ya elfu ishirini ni kutokana na gharama za utengenezaji wa vitambulisho hivyo, amesema pia wana mpango wa kuanza kutoa mikopo kwa wajasiriamali kupitia vitambulisho hivyo kwa wajasiriamali kuunda vikundi.

Amesema yeye huwa anaumia sana kuona wazee na wakina mama wanasumbuliwa, huwa akiona mama anasumbuliwa anamkumbuka mama yake ambaye ni mgonjwa kitandani.

Amesema vijana wanateseka kwa kukosa ajira wenfine wamemaliza vyuo vikuu hawana ajira hivyo anataka ndani ya miaka mitano akipewa tenauraisi suala la ajira alishughulikie kwa nguvu zote. Amesema kama wameweza kujenga flyover hawezi kushindwa kuleta ajira kwa vijana.

Hayo ya meya njaa sisi hayatuhusu hata Kama amehama amehama kea mapenzi yake na tumbo lake hajahama na akili zetu
 
Lofa
 
Kiukweli Leo baba kajichanganya tunajua mazuri aliyofanya ni mengi lakini anatoa hotuba kama vile anamlaumu aliyekuwa madarakani kwa awamu inayoisha wakati ni yeye mwenyewe!!, Mara vitambulisho vitasaidia wajasiriamali wadogo kupata mikopo bila riba, how comes!! Vitambulisho havina ata majina wala picture ya MTU,
Na Yale maneno aliyoyasema kuhusu mgombea wa upinzani mhhh ingekuwa ni mpinzani ndo kayasema kuhusu mgombea wa ccm nahisi angeitwa kwenye kamati ya maadili,
Hamyatendei haki masikio yenu maana mnayaumiza sana. Kwa nini mnamskiliza?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom