Kinyama kwenye ashua ya kukujike

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,058
Tulikuwa na ile mada yenye ukakasi juu ya kinyama njia ya haja kubwa kwa mwanamke
Tukumbushane kule kijijini zamani bibi zetu walipokuwa wakikata kile kinyama nyuma ya ashua ya kuku jike mara anapoanza kutotoa vifaranga...
Njia hii ilisaidia sana vifaranga kutokufa na kuweza kutotolewa vyote.... Kwa familia ambazo zilidharau huu mchakato vifaranga vilikufa.... Ukilinganisha na ile mada kuhusu kile kinyama naona kuna uhalisia mkubwa tuu...
Tafadhali usijaribu kwenda kuanza kufudua kuku za watu nyeti zao
 
Sasa umetuambie ili tukafunue ama tusifunuwe hao vyuku
 
Mkuu hicho kinyama si ndo wanaita BAWAZIRI?Aisee dunia ina mengi
 
Kunku.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa yupo very tricky,hapa hazungumziwi kuku kama kuku..kuna zaidi ya kuku hapa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…