kinyago hiki nitakipata wapi...? nisaidieni!

kinyago hiki nitakipata wapi...? nisaidieni!

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
Lovers.jpg
 
Hikooooo wapi pale,katoe oda popote penye wachongaji
 
naomba kupata maudhui yake kwanza halafu nitakwambia wapi pakukipata ..
 
maudhui ya nini sasa hao....

mkuu kinyago hukioni au unauliza nini tena?
Namaanisha maudhui ya hicho kinyago hapa nina maana kwamba mchonganji alidhamilia kufikisha ujumbe gani kwa watazamaji wa kinyago hicho
au
mchongaji alikuwa na dhana ipi kuchonga kinyago hicho kwa jinsi kinavyoonekana?
HAYO NDO MAUDHUI NINAYOULIZA
 
Mbona hakichezi sasa huyo kinyago wa kiume mjinga.eeh nilisahau kumbe vinyago havichezi
 
Back
Top Bottom