Kinondoni: Mwanafunzi apandishwa kizimbani kwa kumpa mimba mwanafunzi

Alishazoea mambo ya mitaani, kurudishwa shule tena haikuwa chaguo lake. Wa kukosa ni wa kukosa tu, hata akipewa fursa haoni umuhimu wake.
 
Ukute wazazi wa huyo kijana walileta jeuri na kujifanya huyo mama mlezi hawezi kuwafanya kitu, hapa ukiangalia wanaokomolewa ni wazazi wa kijana sio huyo mtoto. Wangeongea tu kifamilia binti angejifungua salama na angeweza kuendelea na shule bila mtu kujua kama alijifungua.
 
Alitenda wema kadri nafsi yake ilivyomtuma pia sio vema kuwa na msichana wa kazi Mdogo kiasi hicho.

Kihehere chake ni kupeleleza aliyempa mimba huyo bint, waangalia namna nyingine ya kusolve.
IQ ndogo, huyo binti si mfanyakazi wa ndani bali ni mwanafunzi. Umasikini unaokumbatiwa na ccm uliwafanya wazazi wake atumikishwe lakini aliyempokea hakuona kama ni busara kumtumikisha hivyo aliamua kumpeleka shule kitendo ambacho wazazi wako hawawezi kukifanya.
 
Duh.. Asee dogo kakipimia size yake imenasa mambo yamekuw hovyo.

Ila huyo mlezi nae ndio snitch kama vipi angemkabidhi manzi wa wazazi wa dogo wamlelee akizaa aendelee kuwa hausigelo
House girl wengi wanapenda kuolewa waipukane na manyanyaso na utumwa usioisha angeulizwa huyo bint kama Yuko tayali kuolewa or
 
angekwa binti yangu nisingempeleka huyo kijana mahakamani kwa kuwa iktokea hukumu ni kubwa kuliko kosa alilotenda katika umri wake binti azae kisha maisha mengine yaendelee na baba wa mtoto aendelee na shule anaweza kuja tunza mtoto siku zijazo.
dogo alikuwa anatekeleza tamko la fyatua!
kama hatafungwa namuona ni kijana mwenye bahati sana kwani ataweza kumtunza mtoto vizuri na yeye anapokuwa na umri wa miaka 41 dogo atakuwa kamaliza chuo kikuu.
 
Huyo mlezi kiherehere sana. We umeletewa house girl, unampeleka shule kivipi?
Kama nawe unazaaa malipo ni hapa hapa manina zako, kwahiyo watoto wa wenzio ni nguruwe tuuuu kwako nakuombea kwa mola watoto wako wapigwe mimba wakiwa la tatu tuuu eee Mungu mjaaalie huyu mja wako kwa roho mbaya zake naaamini atarekebika na kuthamini Binadamu wenzake kuwa wote tumeumbwa kwa mfano wako.
 
Kama nawe unazaaa malipo ni hapa hapa manina zako, kwahiyo watoto wa wenzio ni nguruwe tuuuu kwako nakuombea kwa mola watoto wako wapigwe mimba wakiwa la tatu tuuu eee Mungu mjaaalie huyu mja wako kwa roho mbaya zake naaamini atarekebika na kuthamini Binadamu wenzake kuwa wote tumeumbwa kwa mfano wako.

Duh,
Mzee baba una lolote against mimi au ni coment yangu tu hiyo?
Anyways, Mungu siyo mwanadamu mkuu. Una heri wewe mwenye moyo safi.
Binti yangu wa kwanza yuko F2, wa pili yupo std 5. So hakuna wa kupigwa mimba akiwa la 3.
Mungu akubariki na kukutunza.
 
Back
Top Bottom