mmmmmh! mbali sana yaani itakuwa utawala wa rais wa awamu ya 8 wakati huo anaongoza Tanzania!!!!Dah aisee 19+30= 49 sio mbaya atatoka akiwa Mzee Kijana.
IQ ndogo, huyo binti si mfanyakazi wa ndani bali ni mwanafunzi. Umasikini unaokumbatiwa na ccm uliwafanya wazazi wake atumikishwe lakini aliyempokea hakuona kama ni busara kumtumikisha hivyo aliamua kumpeleka shule kitendo ambacho wazazi wako hawawezi kukifanya.Alitenda wema kadri nafsi yake ilivyomtuma pia sio vema kuwa na msichana wa kazi Mdogo kiasi hicho.
Kihehere chake ni kupeleleza aliyempa mimba huyo bint, waangalia namna nyingine ya kusolve.
House girl wengi wanapenda kuolewa waipukane na manyanyaso na utumwa usioisha angeulizwa huyo bint kama Yuko tayali kuolewa orDuh.. Asee dogo kakipimia size yake imenasa mambo yamekuw hovyo.
Ila huyo mlezi nae ndio snitch kama vipi angemkabidhi manzi wa wazazi wa dogo wamlelee akizaa aendelee kuwa hausigelo
Ikishafika huko kortini ni issue ingineHouse girl wengi wanapenda kuolewa waipukane na manyanyaso na utumwa usioisha angeulizwa huyo bint kama Yuko tayali kuolewa or
hesabu za kutumikia kifungo jela huwa hazihesabiwi hivyo hapo ni 19+20=39Dah aisee 19+30= 49 sio mbaya atatoka akiwa Mzee Kijana.
Huyo mlezi kiherehere sana. We umeletewa house girl, unampeleka shule kivipi?
ukute atashindwa kusomesha watoto wake chuoHuyo mlezi kiherehere sana. We umeletewa house girl, unampeleka shule kivipi?
Kama nawe unazaaa malipo ni hapa hapa manina zako, kwahiyo watoto wa wenzio ni nguruwe tuuuu kwako nakuombea kwa mola watoto wako wapigwe mimba wakiwa la tatu tuuu eee Mungu mjaaalie huyu mja wako kwa roho mbaya zake naaamini atarekebika na kuthamini Binadamu wenzake kuwa wote tumeumbwa kwa mfano wako.Huyo mlezi kiherehere sana. We umeletewa house girl, unampeleka shule kivipi?
Kama nawe unazaaa malipo ni hapa hapa manina zako, kwahiyo watoto wa wenzio ni nguruwe tuuuu kwako nakuombea kwa mola watoto wako wapigwe mimba wakiwa la tatu tuuu eee Mungu mjaaalie huyu mja wako kwa roho mbaya zake naaamini atarekebika na kuthamini Binadamu wenzake kuwa wote tumeumbwa kwa mfano wako.