GE2025 Kinje achukua fomu kugombea ubunge Kilwa Kaskazini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Kada wa chama cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Kinjekitile Ngombale Mwiru Leo amechukua fomu za kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
1751132202706.png
 
Hivi huyu ndio alikuwa analeta fujo mjini huko 1990s kisa baba yake kigogo
Hapana alikuwa na Mdogo wake akiitwa |Tonny ambaye alijipatia TZS 424M za Bank ya CRDB zikiwa ni hela zilizopigwa toka kwa Company inayoitwa SCI Tanzania LTD

Kesi iliunguruma ila sijui iliishia wapi
 
Mbona walikuwa wanasema kinje
 
Hapana alikuwa na Mdogo wake akiitwa |Tonny ambaye alijipatia TZS 424M za Bank ya CRDB zikiwa ni hela zilizopigwa toka kwa Company inayoitwa SCI Tanzania LTD

Kesi iliunguruma ila sijui iliishia wapi
Kesi hii ilikua kisutu
 
Back
Top Bottom