Kingwangala tuombe radhi

Ni heri ya Wema Sepetu kuliko majitu kama lile JIHA lililoNAJISI Bunge kwa kusema "F*ck you" na Spika akajifanya hakusikia.

 
Last edited by a moderator:
T might be her dream,but not a tanzanian dream."the tanzanian dream is dead."
 
Ila ni haki yake Kikatiba
 

Labda hamjamuelewa muheshimiwa aliposema talented, talent zipo za aina nyingi wajameni. Kwa sisi tunaolewa tafsida aliposema need people like her in the house tushaelewa ana maana gani.
 
Anataka Chak'la hiyo, kigwangala anajua yeyote atakae onesha kumsapoti wema,PAPUCHI inamhusu, so kaanza kujipepelea

Bi mdada atamgawia si punde
 
Wema akipata ubunge, 2020 robo tatu ya wabunge watatoka bongo movie na bongo flava...
 
Ulikuwa utani au unamaanisha?

Kigwangalla akiwa Rais, tunapata picha ya aina ya mawaziri wake.

President Hamisi Kigwangalla.
Wema Sepeku - State Minister in the president's office (Special affairs)
 

Hahahaaha.. biachez in our hauzz
 
Hivi mkuu kigwangala hayo ndio matokeo ya "Kigwaconomics theory:"
 
Last edited by a moderator:
Huyu kigwangala ndo anataka kua Rais
Dah hii inchi imedhalilishwa sana na CCM,
Sasa wema ni smart wa nin? Au wa kugawa?
 
Hivi mkuu kigwangala hayo ndio matokeo ya "Kigwaconomics theory:"

teh teh teh mie nimempenda tu huyo mzee pembeni yake.Yaonyesha japo umri umekwenda lakin mzee kasuuzika kuwa karibu na mtoto wema.

Songa mbele wema na usirudi nyuma.hizo pesa za bunge na wewe nenda kale tu, kwani kuna nin cha ajabu huko bungeni?nenda kale.
 
Last edited by a moderator:
Ni heri ya Wema Sepetu kuliko majitu kama lile JIHA lililoNAJISI Bunge kwa kusema "F*ck you" na Spika akajifanya hakusikia.


Huyu ni miongoni mwa watu makin waliopo kule.kuna viazi vingi sana kule na katika viazi hivyo huyu huwezi kumuweka kundi la viazi.huyu lazima umuweke kundi la cream ya juu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…