Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,490
- Thread starter
- #21
Dah!
needed in da house????
People like her????
Hayo ndio mawazo ya Mtia nia wa Urais toka ccm
Dah!
needed in da house????
People like her????
Labda hamjamuelewa muheshimiwa aliposema talented, talent zipo za aina nyingi wajameni. Kwa sisi tunaolewa tafsida aliposema need people like her in the house tushaelewa ana maana gani.
Kigwangalla akiwa Rais, tunapata picha ya aina ya mawaziri wake.
President Hamisi Kigwangalla.
Wema Sepeku - State Minister in the president's office (Special affairs)
Hahahaaha.. biachez in our hauzz
Ulikuwa utani au unamaanisha?
Wema akipata ubunge, 2020 robo tatu ya wabunge watatoka bongo movie na bongo flava...
Na anaweza pata mkuu si unajua se tunachagua kutokana na "nani ana vuma na kusikika na hatuangalii historia yako ya uongozi kama huvumi"
sijui kamusi gani anayoitumia huyo muheshimiwaWell-educated :sleepy::sleepy:
Nahisi amekula maharage ya chunyasijui kamusi gani anayoitumia huyo muheshimiwa
Wengine watajiuliza kama wema kaweza kwanin sie tushindwe?
Hayo ndio mawazo ya Mtia nia wa Urais toka ccm