Kingunge Ngombale Mwiru

Kingunge Ngombale Mwiru

Hakeem makamba

Senior Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
123
Reaction score
41
Ndugu wana jamvi.
Toka nimezaliwa huyu babu aitwaye Kingunge Ngombale Mwiru amekuwa kwenye nafasi kubwa sana za uongozi wa nchi yetu.Jambo ambalo linanichochea kuamini kuwa amekuwa akiaminiwa na watala wa awamu zote nne. Lakini mimi kama mtanzania wa kawaida sijawahi kuona "any significance" kwenye uwepo wake. I stand to be schooled, ni nini hasa mchango wa Mzee Kingunge? Huyu ni mtu wa aina na msimamo gani?
Ni kweli kuwa ana role kubwa kiasi hicho ambayo nchi haina mbadala kwa zaidi ya nusu karne?
Nawakilisha.
 
Kuna wakati alifananishwa na Mao wa China! Huyu mzee alikuwa mkufunzi mzuri sana wa siasa ya ujamaa na kujitegemea...amefanya mambo makubwa sana kutengeneza na hatimae kunadi sera ya ujamaa na kujitegemea! Kingunge Ngombale Mwiru alikuwa mmoja wapo wa vinara wa kuasisiwa kwa azimio la Arusha! Huyu Mzee alikuwa Mjamaa kweli kweli pengine kuliko hata Mwalimu maana yeye hakuwa na upogo wa dini yoyote ile!!! Mara baada ya kuja kwa Azimio la Zanzibar, Wataalam walitaka ushawishi wa Kingunge kuelekea kwenye Uchumi holela! wengi walimuona kama kimbilio kutokana na kutokufungamana na upande wowote ! ... Baada ya Kifo cha Mwalimu na yeye ku realize kuwa dunia imebadilika alikubali Mwanae awezeshwe kujilimbikizia mali na hatimae sasa ni mmoja wapo wa Mabepari wa nchi hii... Hii ndiyo risila fupi ya mzee wetu alieko katika dk zake za kumalizia ngwe kabla ya kwenda kuzichapa kavukavu na Julius huko Akhera Madukani ....
 
Ndio Mganga (read MCHAWI) wa CCM, ameingia kwenye CA kama mwakilishi wa waganga wa kienyeji (wachawi). Karne ya 21 bado CCM inaamini katika UCHAWI badala ya SAYANSI!
 
Kingunge kwa sasa yupo bunge la katiba kwa mgongo wa Waganga wa tiba za jadi wanaotumia miti shamba na nguvu za asili. Si ajabu ni sababu ya utabibu wake huo kwa serikali siku zote ameaminiwa na kupewa vyeo vya juu
 
Katika kitu ccm wanaomba kisiondoke Tanzania ni UMASKINI, na Mzee Kingunge ndie fundi ( mtaalam ) anayeifanya Tanzania isisonge mbele kimaendeleo kwa kutumia ufundi wake wa nguvu za giza. Siku Watanzania watakapo elimika basi ccm watakuwa hatiani katika uwepo wa uso wa Tanzania.
 
Haamini uwepo wa Mungu,eti hana Dini.Role yake ni Uganga wa Kienyeji
 
Huyu ndiye mchawi wa Chama na ameingia kwa sasa si kwa ukongwe wake kisiasa bali kuwakilisha kundi la wanganga wa kienyeji!!! Shame on you CCM!!! KWa hiyo yuko pale kupindisha akili za wachache ambao hawataweza kupambana na yale majini yake ili waunge mkono serikali mbili.Kwani umeshaona amechangia chochote tangu limeanza? Kama alichangia sikusikia wakuu, yuko kimya tu akinukuu mambo ambayo usiku atayafanyia tunguli. Wakati mwingine mnamuona pale amekaa kumbe ni kivuli yeye yuko bizy kuwasha vibatari mchana kupeperusha akili za watu kuhusu katiba ya CCM!!
 
Kingunge kwa sasa yupo bunge la katiba kwa mgongo wa Waganga wa tiba za jadi wanaotumia miti shamba na nguvu za asili. Si ajabu ni sababu ya utabibu wake huo kwa serikali siku zote ameaminiwa na kupewa vyeo vya juu

Are you serious!!??
 
Babake na bepari Kinje, huyu mtoto anamapesa kama Ritz mkwele
 
Last edited by a moderator:
Hazima ya ccm lakini mchango wake sijui anautoa usiku?
 
Huyu mzee ndio wale watakao anguka kwenye majukwaa ya kisiasa kwa ajili ya kutaka umaarufu.

Nilianza kumsikia miaka ya 70 wakati akiwa mkuu wa mkoa wa Tanga. Mpaka sasa nashidwa kumuelewa kama kweli ni mwanasiasa.

Aliwahi kupewa uwaziri kwenye serikali za maraisi watatu waliopita . Sijaona mchango wake. Akawa anapewa nafasi za uwaziri usiokuwa na wizara maalumu {only in Tanzania}.

Katika serikali hizo alizowahi kushika ndio zilizoua azimio la Arusha , na viongozi wake ndio walioamua kutofuata maadili ya viongozi na kujilimbikizia mali.

Kama angekua mwadilifu angekemea maovu na kujiweka pembeni , lakini huwa anavututiwa na vipost vya ajabu ajabu ,sasa hivi eti mjumbe wa wa bunge la katiba.

Hivi Watanzania watafaidika na nini kwa siasa zake .
 
huyu si mganga wa nchi mwache ajione shekhe Yahaya vitu anavofanya vna mwisho nuru na giza havikai pamoja
 
Nafikiri huyu anaamika na CCM Kama Mganga wa Siasa za Tanzania, ila ninachokumbuka enzi ya Chama kimoja huyu mtu alikunywa maji ya bendera. Alikuwa ni mtetezi wa siasa za Kijamaa.
 
Back
Top Bottom