Kingunge Ngombale Mwiru

Kingunge Ngombale Mwiru

chaku mshangaa kikwete nikutuwekea watu kama awa kwenye mjadala wa katiba mpya iweje kijana wa miaka 25 kusemewa na mtu ambae ana uakika wakuiona kesho
 
Huyo Mzee ni mmoja katika waliosaidia kuiingiza nchi hii kwenye lindi la umaskini.

Kwa sasa kajilimbikizia mali nyingi sana, yeye na nwanae aliyezaa na Mdosi almaaruf Kinje.

Kuna kila uwezekano ni mchawi mzuri sana aliyeweza kuwatia viongozi wote mfukoni na hakuna aliyeweza kumkatalia chochote au lolote alisemalo.
 
Ni moja kati ya wazee katili sana huyu kwani anafahamu fika kuwa muda wa yeye kulitumikia taifa upo magharibi lakini bado kang'ang'ania kutaka kuropoka ropoka tu.
 
Ni miongoni mwa watu wanaosababisha serikali kuwa na matumizi makubwa kwa kuwalipa posho kama waganga wa jadi a.k.a wachawiiiiii a.k.a vigagulaaaa
 
huwa hichi kibabu kinanichekeshaga kunavyokuwa kinajila mdomo kama mjusi gong'ole
 
HUYU MZEE KWANZA MCHAWI NA NDO MAANA AMEENDA BUNGE LA KATIBA KUPITIA WAGANGA WA KIENYEJI.SASA SIJUI WALILENGA AENDE KULOGA BAADHI YA MAMBO WATU WAWE WANASEMA ndiyoooo,kama walivyozoea magamba.
 
Enzi za mwalimu alkuwa wa kawaida sana, wanamtandao alimweka awe mshauri wa siasa wa mkapa ili aandae mazingira ya kikwete kwenda ikulu, hapo ilibidi Hance Kitine apigwe zengwe atoke kuwa waziri wa nhi ofisi ya raisi utawala bora ili ikulu iweze kuingilika, as former TISS DG alkuwa na msimamo kuhusu utakatifu wa ikulu, kazi hii ilifanywa kustadi na membe, Kila mwanamtandao alkuwa na jukumu la kufanya,
 
Huyo Mzee ni mmoja katika waliosaidia kuiingiza nchi hii kwenye lindi la umaskini.

Kwa sasa kajilimbikizia mali nyingi sana, yeye na nwanae aliyezaa na Mdosi almaaruf Kinje.

Kuna kila uwezekano ni mchawi mzuri sana aliyeweza kuwatia viongozi wote mfukoni na hakuna aliyeweza kumkatalia chochote au lolote alisemalo.

tunakushukuru sana kwa kututonya jambo MUHIMU .
 
Enzi za mwalimu alkuwa wa kawaida sana, wanamtandao alimweka awe mshauri wa siasa wa mkapa ili aandae mazingira ya kikwete kwenda ikulu, hapo ilibidi Hance Kitine apigwe zengwe atoke kuwa waziri wa nhi ofisi ya raisi utawala bora ili ikulu iweze kuingilika, as former TISS DG alkuwa na msimamo kuhusu utaatifu wa ikulu, kazi hii ilifanywa kustadi na membe, Kila mwanamtandao alkuwa na jukumu la kufanya,

ubarikiwe sana mkuu .
 
He is a true brainwashed fanatic of ccm.that's all.
 
Kazi yake ni moja tu kuwafukza juju wasomi wa nchi ili kwenda kinyume na taaluma zao ila naona mambo yanaelekea kuwa mambo sasa
 
Ni kaka yake marehemu Enock Ngombale. Haamini uwepo WA Mungu na ni muumini mkubwa WA siasa za kisoshalist na kimarx.
 
huyu wanamtumia kwa kumbukumbu zaidi na mshauri wao, kama unakumbuka baada ya rais kupita uchaguzi na kuwa rais wa JMT alimteua kama waziri wa siasa ili kumshauri, ni mzee anayejua fitina hasa. kwenye mambo ya maendeleo ni bure kbs hana ushauri.
 
Kingunge anaitwa na ma-ccm "DIMBWI LA MAWAZO"... uchafu wote wa CCM wanachota kwake!
 
Huyo Mzee ni mmoja katika waliosaidia kuiingiza nchi hii kwenye lindi la umaskini.

Kwa sasa kajilimbikizia mali nyingi sana, yeye na nwanae aliyezaa na Mdosi almaaruf Kinje.

Kuna kila uwezekano ni mchawi mzuri sana aliyeweza kuwatia viongozi wote mfukoni na hakuna aliyeweza kumkatalia chochote au lolote alisemalo.
Kuna siku unahoja nzuri wewe!!!
 
Back
Top Bottom