Kingunge kuitikisa nchi kwa Chopa

Kingunge kuitikisa nchi kwa Chopa

Mabadiliko gani yanawatuma! sema ufisadi wao ndio unawatuma sasa wanakusanyana. Bado Karamagi, Msabaha na Rostam.

Unafahamu athari za kuuongelea ufisadi kwa serikali iliyoko madarakani? Kodi yangu haiwezi kua inapotea kuhudumia takukuru, polisi mahakama wakati kuna watu tunaambiwa ni mafisadi wapo mtaani badala ya kua gerezani.

Mabadiliko tunayoyataka ni ya kuitoa ccm madarakani hilo ni la kwanza...
 
Sasa kama hicho kizee kimekaa ccm miaka 61 inamaana ndio kimeiharibu ccm kwa kulea mafisadi kiliowafuata huko chadema. Na hicho kizee nitashangaa sana kama nacho kitaungana na Sumaye kusema eti ccm haijafanya chochote kwa miaka 54 wakati kizee hicho kimekaa miaka 61!! nani wa kulaumiwa? Kizee hata kifanye nini kizee kimechelewa na wananchi wameshafanya maamuzi, LOWASA OUT......!

Sema misukule kama wew washafanya maamuz sio wana nchi sisi ambao tuna akili zetu timamu. Msukule wa kutupa wew. Kama hicho kizee hakina madhara mbona una harisha?
 
Si tu hakina wafuasi.Kilikuwa kinajulikana zaidi kwa viongozi wenzie wa CCM wa juu lakini sio wanachama.Hata kwao Kipatimu hawakijui wanaokijua ni wazee wachache walio sawa na umri wake.

Hata CCM walishakibwaga muda mrefu kwenye uongozi.Wakati wa mchakato kumtafuta mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM hicho kizee hakikuwa mjumbe wa kamati kuu,halmashauri kuu wala mkutano mkuu.Ukisikia kinasema taratibu hazikufuatwa ni kwa kuambiwa na Lowassa.Chenyewe hakijui yaliyoendelea ndani ya vikao zaidi ya kuambiwa.Hakana original data.Waandishi wa habari wakabane wakaulize ulijuaje mchakato ulivyokwenda wakati wewe si mshiriki wa vikao.

Hako kazee hakana nguvu kisiasa kama kanavyojinadi kangekuwa na nguvu ya kisiasa Lowasa asingekatwa jina na CCM.Ni kazee fulani kababaishaji ka mjini.

Haahaaha wewe unajulikana na nani ???
 
Unapotaja wazee walioifikisha nchi hii pabaya anza na mwenye kadi namba 8 kizee kilichokoboka hadi meno kinaitwa Kingunge hata dini kizee hicho hakina kwa hiyo hakina hata hofu ya MUNGU.

Mwanaharamu we Acha kutukana wazee au watu waliokuzidi umri na dini uliyonayo mbona haikusaidii kwa kutukana na kukashifu Mungu akushushie dhahama
 
Sasa kama hicho kizee kimekaa ccm miaka 61 inamaana ndio kimeiharibu ccm kwa kulea mafisadi kiliowafuata huko chadema. Na hicho kizee nitashangaa sana kama nacho kitaungana na Sumaye kusema eti ccm haijafanya chochote kwa miaka 54 wakati kizee hicho kimekaa miaka 61!! nani wa kulaumiwa? Kizee hata kifanye nini kizee kimechelewa na wananchi wameshafanya maamuzi, LOWASA OUT......!

na bavicha watakiamini kwamba eti ni kimkombozi,,,,,,bavicha ni so hopelless,,yaani hawawezi hata kureason,,,,,,,,,simple reasoning,hawawezi wamekaa kama nyumbu tu
 
Sasa kama hicho kizee kimekaa ccm miaka 61 inamaana ndio kimeiharibu ccm kwa kulea mafisadi kiliowafuata huko chadema. Na hicho kizee nitashangaa sana kama nacho kitaungana na Sumaye kusema eti ccm haijafanya chochote kwa miaka 54 wakati kizee hicho kimekaa miaka 61!! nani wa kulaumiwa? Kizee hata kifanye nini kizee kimechelewa na wananchi wameshafanya maamuzi, LOWASA OUT......!
Pole. Maumivu ya sindano tu hayo. Na bado dozi ya mchana jiandae.
 
Unafahamu athari za kuuongelea ufisadi kwa serikali iliyoko madarakani? Kodi yangu haiwezi kua inapotea kuhudumia takukuru, polisi mahakama wakati kuna watu tunaambiwa ni mafisadi wapo mtaani badala ya kua gerezani.

Mabadiliko tunayoyataka ni ya kuitoa ccm madarakani hilo ni la kwanza...

Mafisadi wamehamia chadema kwa hiyo tuelekeze nguvu zetu sote tuiondoe chadema na mizizi yake wasijekushika dola.
 
Sema misukule kama wew washafanya maamuz sio wana nchi sisi ambao tuna akili zetu timamu. Msukule wa kutupa wew. Kama hicho kizee hakina madhara mbona una harisha?

Nani anaharisha? utaitwa msaliti sasa hivi. Kizee hakina madhara kile.
 
Mipango inafanywa na iko mbioni kukamilika ambapo mwanasiasa mkongwe na mahiri nchini Kingunge Ngombale Mwiru atalitikisa anga la Tanzania kwa chopa. Ziara yake itaanzia kanda ya ziwa kuwaeleza watanzania jinsi Ccm ilivyoishiwa pumzi.

ziara imeshaanza tangu juzi alikua arusha, jana kahutubia moshi, siha, karatu nk.
 
Mwanaharamu we Acha kutukana wazee au watu waliokuzidi umri na dini uliyonayo mbona haikusaidii kwa kutukana na kukashifu Mungu akushushie dhahama

Tukisema wazee wenye busara na hekima wapite mbele unadhani Kingunge atakuwemo!? Aa wapi! Kizee kimekula hela za fisadi nacho kimeingia mtegoni.
 
Kagundua makosa baada ya kupewa mil 300 na Lowasa na baada ya kuhujumu mapato ya stand ya ubungo sio!

Mtu kama wewe huna faida katika nchi hii wewe unashuhudia mtu akinunuliwa/kutoa rushwa unashindwa kupeleka taarifa TAKUKURU harafu unajifanya kuipenda nchi yako
 
Wananchi wa wapi? Harafu nyie wazee ndio mmefanya nchi imefika hapa ilipo ujana wako woote uliridhika tu kuongozwa na Serikali ambayo inamjari mgeni kuliko raia wake

Tatizo siyo yeye Bali dhamira.MWACHE ATUKIMBIZIE YULE DR MIHOGO ALIYEKUWA ANALELEWA NA GWA..J.IMA
 
Unapotaja wazee walioifikisha nchi hii pabaya anza na mwenye kadi namba 8 kizee kilichokoboka hadi meno kinaitwa Kingunge hata dini kizee hicho hakina kwa hiyo hakina hata hofu ya MUNGU.

Mtaelewa tu kwa nini chatu hana meno na anaogopwa.Mwaka Wa aibu huwa hautoi taarifa Bali huja pasipo muaibika kujua.Mnalo Hilo chatu lenye usongo Wa kuibugia sisie liliyoianzisha jenyewe.
 
Mipango inafanywa na iko mbioni kukamilika ambapo mwanasiasa mkongwe na mahiri nchini Kingunge Ngombale Mwiru atalitikisa anga la Tanzania kwa chopa. Ziara yake itaanzia kanda ya ziwa kuwaeleza watanzania jinsi Ccm ilivyoishiwa pumzi.

"Ccm imechoka, baada ya zaidi ya nusu karne imeishiwa pumzi, tuipumzishe".
Kingunge ni mwanachama #8 wa ccm.
Kaichosha ccm, kama alivyochoka yeye mwenyewe.
Kasi ya ccm imemzidi umri na pumzi, ndoja adandie chopa akawachoshe na wengine.
 
Back
Top Bottom