Wewe unaejitambua umeifanyia nini nchi yako??? Hivi huwaonei huruma wenzio ambao hawafaidi hizo dili mnazo piga???
Mtaelewa tu kwa nini chatu hana meno na anaogopwa.Mwaka Wa aibu huwa hautoi taarifa Bali huja pasipo muaibika kujua.Mnalo Hilo chatu lenye usongo Wa kuibugia sisie liliyoianzisha jenyewe.
Hicho kizee kweli kina wafuasi?
wazee ni hazina kubwa sana .Mipango inafanywa na iko mbioni kukamilika ambapo mwanasiasa mkongwe na mahiri nchini Kingunge Ngombale Mwiru atalitikisa anga la Tanzania kwa chopa. Ziara yake itaanzia kanda ya ziwa kuwaeleza watanzania jinsi Ccm ilivyoishiwa pumzi.
Mganga anapoingia uwanjani kuisaidia timu yake.
Sasa kama hicho kizee kimekaa ccm miaka 61 inamaana ndio kimeiharibu ccm kwa kulea mafisadi kiliowafuata huko chadema. Na hicho kizee nitashangaa sana kama nacho kitaungana na Sumaye kusema eti ccm haijafanya chochote kwa miaka 54 wakati kizee hicho kimekaa miaka 61!! nani wa kulaumiwa? Kizee hata kifanye nini kizee kimechelewa na wananchi wameshafanya maamuzi, LOWASA OUT......!
Laana ya milele imwangukie kila anayedharau wazee .
😀 😀 kula limao mkuu
wazee ni hazina kubwa sana .
Tunahitaji watu wenye ujasiri
Tunahitaji watu wenye fikra na mitazamo huru
Tunahita watu wenye dhamira ya kweli
Tumekuwa taifa la wajinga kwa muda mrefu tusiozifaham haki zetu kikatiba na hata kushindwa kutetea maslahi ya watoto na wajukuu zetu.
Taifa la wapumbafuu wanaotetea ujinga na udhalim wa watawala kuangamiza raslimali zetu bila kuwekeza popote hata baafa ya kupata uhuru takriban 54yrs.
Tu umbumbu tu unaowezamfanya mtu kutetea ufedhuli wa viongozi wetu wa kisiasa.
Mfano rahisi wametunguwa mabilion ya ESCROW tena bila aibu kwa magunia na viroba. Taifa sasa lipogizan giza totolooo everywhere but yet kwa upumbavu people wananatetea upuuzi huu niaibu kubwa nafedheha kwetu sote.
Ni vema Kingunge amejitambuwa na hii inamuondolea madhambi yote ambayo alishiriki hapo kabla akiwa ccm kulihujum Taifa letu.
Mwenye makosa akitubu na kujuta husamehewa na Mungu ndivyo anavyo himiza.
Kizee hata kifanye nini kizee kimechelewa na wananchi wameshafanya maamuzi, LOWASA OUT......!
Swali hilo muulize Lowasa, yeye angekuwa na huruma na watanzania angelitia hasara taifa kwa kufisadi fedha kibao kwenye kampuni yake ya Rich of Monduli?(Richmond)
Kwani hapa najibazana na Lowasa??? , unatakiwa kujibu hilo swali wewe niliyekuuliza. Huyo Lowasa mmekaa naye miaka mingapi na hamjamfunglia mashtaka???
Matatizo ya umeme ni muendelezo wa kampuni hewa ya Lowasa ile Richmond. Funguka nyumbu we.