Kingunge kuitikisa nchi kwa Chopa

Kingunge kuitikisa nchi kwa Chopa

Tunahitaji watu wenye ujasiri

Tunahitaji watu wenye fikra na mitazamo huru

Tunahita watu wenye dhamira ya kweli

Tumekuwa taifa la wajinga kwa muda mrefu tusiozifaham haki zetu kikatiba na hata kushindwa kutetea maslahi ya watoto na wajukuu zetu.

Taifa la wapumbafuu wanaotetea ujinga na udhalim wa watawala kuangamiza raslimali zetu bila kuwekeza popote hata baafa ya kupata uhuru takriban 54yrs.

Tu umbumbu tu unaowezamfanya mtu kutetea ufedhuli wa viongozi wetu wa kisiasa.

Mfano rahisi wametunguwa mabilion ya ESCROW tena bila aibu kwa magunia na viroba. Taifa sasa lipogizan giza totolooo everywhere but yet kwa upumbavu people wananatetea upuuzi huu niaibu kubwa nafedheha kwetu sote.

Ni vema Kingunge amejitambuwa na hii inamuondolea madhambi yote ambayo alishiriki hapo kabla akiwa ccm kulihujum Taifa letu.

Mwenye makosa akitubu na kujuta husamehewa na Mungu ndivyo anavyo himiza.

Lofa na mpumbav ni yule anaeamini kingunge Ana ushawishi kwenye hii jamii ya sasa..yan Huyu mtu amepewa chopa ashawishi wapiga kura..----..Toroka uje naona amekuja mwenyewe.....
 
Mipango inafanywa na iko mbioni kukamilika ambapo mwanasiasa mkongwe na mahiri nchini Kingunge Ngombale Mwiru atalitikisa anga la Tanzania kwa chopa. Ziara yake itaanzia kanda ya ziwa kuwaeleza watanzania jinsi Ccm ilivyoishiwa pumzi.

Mungu amtangulie katika vita hii.
 
Ngoja tuone kama kingunge hana madhara. Ngoja tuone kama ni oil chafu.
 
Sasa kama hicho kizee kimekaa ccm miaka 61 inamaana ndio kimeiharibu ccm kwa kulea mafisadi kiliowafuata huko chadema. Na hicho kizee nitashangaa sana kama nacho kitaungana na Sumaye kusema eti ccm haijafanya chochote kwa miaka 54 wakati kizee hicho kimekaa miaka 61!! nani wa kulaumiwa? Kizee hata kifanye nini kizee kimechelewa na wananchi wameshafanya maamuzi, LOWASA OUT......!
Mkuu rekebisha kauli mpe heshma yake sema "mzee"
 
Wakwepa kodi Chadema ( billicanas) walikiona cha moto
 
Nasubiri nione huo mtikisiko
 
Mipango inafanywa na iko mbioni kukamilika ambapo mwanasiasa mkongwe na mahiri nchini Kingunge Ngombale Mwiru atalitikisa anga la Tanzania kwa chopa. Ziara yake itaanzia kanda ya ziwa kuwaeleza watanzania jinsi Ccm ilivyoishiwa pumzi.
Sidhani
 
Back
Top Bottom