Kingunge kuitikisa nchi kwa Chopa

Kingunge kuitikisa nchi kwa Chopa

Kauli yako inaonekana haina uadilifu. Wewe ulitaka atumie madaraka yake kama baba Riz. Huyu mzee ni muadilifu na anafahamu taratibu za chama ndio maana hakuweza kutumia madaraka yake vibaya.

eti muadilifu!! kizee hicho kingekuwa kiadilifu kingeiba hela za stand ya ubungo!?
 
Wewe umekijuaje? au na wewe ni mzee? basi kwa taarifa yako dotcom huenda ndio hawamjui sana ila kwa sisi wa 70 mpaka late 80 anajulikana na kulikuwa kulikuwa kunatumika neno KINGUNGE kuonesha mtu mzito au mwenye wadhifa fulani. Ficha ujinga wako kama hujui

Fedha fedheha! leo kingunge ni wa kutumwa kazi na subordinate wake Lowasa!!
 
Wananchi wa wapi? Harafu nyie wazee ndio mmefanya nchi imefika hapa ilipo ujana wako woote uliridhika tu kuongozwa na Serikali ambayo inamjari mgeni kuliko raia wake

Unapotaja wazee walioifikisha nchi hii pabaya anza na mwenye kadi namba 8 kizee kilichokoboka hadi meno kinaitwa Kingunge hata dini kizee hicho hakina kwa hiyo hakina hata hofu ya MUNGU.
 
Wewe umekijuaje? au na wewe ni mzee? basi kwa taarifa yako dotcom huenda ndio hawamjui sana ila kwa sisi wa 70 mpaka late 80 anajulikana na kulikuwa kulikuwa kunatumika neno KINGUNGE kuonesha mtu mzito au mwenye wadhifa fulani. Ficha ujinga wako kama hujui
Kuna majina mawili muhimu ya watanzania ambayo yanatumika kumwelezea mtu ni Kingunge na Kihiyo positive and negave respectively
 
Anao wafuasi kibao! Hakuna MTU mwingine aliyekuwa mfuasi wa ccm kwa dhati kama Kingunge! Ukiona fisi ameizira mifupa, ujue hiyo mifupa haimfai MTU yeyote! Kingunge na ccm ilikuwa kama fisi na mifupa. Ukiona kingunge amekisusa ccm, ujue ccm haifao na haitengenezeki tena!

Kizee hicho stand ya ubungo imekitoa akili baada ya kufanya ubadhilifu.Hakinaga wafuasi hicho kizee wanaokifahamu wengi wameshatangulia mbele ya haki.
 
Unapotaja wazee walioifikisha nchi hii pabaya anza na mwenye kadi namba 8 kizee kilichokoboka hadi meno kinaitwa Kingunge hata dini kizee hicho hakina kwa hiyo hakina hata hofu ya MUNGU.

Kagundua makosa na ndio sababu unaona anasupport mabadiliko vp wewe unafurahia tu hujui kuna wanao watapata tabu Kwasababu ya raha yako ya siku moja???
 
Si tu hakina wafuasi.Kilikuwa kinajulikana zaidi kwa viongozi wenzie wa CCM wa juu lakini sio wanachama.Hata kwao Kipatimu hawakijui wanaokijua ni wazee wachache walio sawa na umri wake.

Hata CCM walishakibwaga muda mrefu kwenye uongozi.Wakati wa mchakato kumtafuta mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM hicho kizee hakikuwa mjumbe wa kamati kuu,halmashauri kuu wala mkutano mkuu.Ukisikia kinasema taratibu hazikufuatwa ni kwa kuambiwa na Lowassa.Chenyewe hakijui yaliyoendelea ndani ya vikao zaidi ya kuambiwa.Hakana original data.Waandishi wa habari wakabane wakaulize ulijuaje mchakato ulivyokwenda wakati wewe si mshiriki wa vikao.

Hako kazee hakana nguvu kisiasa kama kanavyojinadi kangekuwa na nguvu ya kisiasa Lowasa asingekatwa jina na CCM.Ni kazee fulani kababaishaji ka mjini.

Kababaishaji kama bb yako
 
Huko angani si huyu Kingunge atatapika tu? Afadhali atulie na kujali afya yake badala ya kusumbuka huku na huko kumnadi Lowassa. Kazi hiyo awaachie vijana akina Sumaye na Msindai.
 
Unapotaja wazee walioifikisha nchi hii pabaya anza na mwenye kadi namba 8 kizee kilichokoboka hadi meno kinaitwa Kingunge hata dini kizee hicho hakina kwa hiyo hakina hata hofu ya MUNGU.
Hawa jamaa walianza na mungu na sasa wanamaliza na Shetani.
 
Wakati wa mabadiliko ukifika hakuna wakupingana nao, huwezi amini thamani ya Kinginge imekua kubwa mara dufu zaidi ya Slaa. Wakiitisha mkutano leo hii, Kinginge atapata wafuasi wengi. Kila jambo na wakati wake.
 
Kagundua makosa na ndio sababu unaona anasupport mabadiliko vp wewe unafurahia tu hujui kuna wanao watapata tabu Kwasababu ya raha yako ya siku moja???

Kagundua makosa baada ya kupewa mil 300 na Lowasa na baada ya kuhujumu mapato ya stand ya ubungo sio!
 
Wakati wa mabadiliko ukifika hakuna wakupingana nao, huwezi amini thamani ya Kinginge imekua kubwa mara dufu zaidi ya Slaa. Wakiitisha mkutano leo hii, Kinginge atapata wafuasi wengi. Kila jambo na wakati wake.

lau masha yuko wapi? Nasikia katupiwa virago.
 
Kwenye ccm kuna maneno haya

- Kingunge (mtu mzito maarufu sana na mwenye heshima kubwa ndani ya chama) au vingunge.

-Kada/makada.

Umashuhuri wa neno Kingunge ulitokana na huyu mzee Kingunge Kada wa ccm

Yeyote anayempuuza huyu mzee basi haielewi vema historia ya TANU wala CCM.

Maana yake hawafaham watu mashuhuri wakati ule hata sasa ndani ya ccm.
 
Back
Top Bottom