Kingunge apiga ramli

Kingunge apiga ramli

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Ngombale Mwiru :- Nimetazama nyota zote na mizimu imekataa kabisa ,mambo ni magumu na hamtoki ,hii nyota ya machweo inaonyesha wewe uliwahi kuwa mkuu wa usalama wa Taifa au kufanya kazi huko ,inalama ya kuuliza kuwa uliwahi kuua mkuu yeyote ?

Pinda:- Sasa hayo ya kuua yamezukia wapi tena ?

Ngombale :- Ni mizimu hii ndio imekacha kabisa ,sasa ndio pana ugumu hapa.

Pinda :- Nimekuja unisaidie ,hebu wachana na hayo ,vipi kuna amani ?

Ngombale :- Amani hamna tena,ila ludisha hela yote uliyomegewa,ubaki na zile nyumba zako ndogo tatu na zile dola 20,000 ulizowatangazia kama ndio ulichokuwa nacho ukaanze maisha shamba ila kwa hapa si mahala pa kubanana tena.

Pinda:- We mzee sheeeidah ile mbaya !


images
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom