Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,877
Yep! I can coach you... Ntakuwa nakufundisha kwa kutumia simu. Nakupigia tunajifunza kitu kimoja baada ya kingine. Ntakufundisha uweze kupata listening skills, speaking skills ila writing skills itakuja mwisho...Nipo serious Mkuu.nionee huruma
Kweli Mkuu?Yep! I can coach you... Ntakuwa nakufundisha kwa kutumia simu. Nakupigia tunajifunza kitu kimoja baada ya kingine. Ntakufundisha uweze kupata listening skills, speaking skills ila writing skills itakuja mwisho...
Nataka speaking skills kwanza maana presentation zitanitesaYep! I can coach you... Ntakuwa nakufundisha kwa kutumia simu. Nakupigia tunajifunza kitu kimoja baada ya kingine. Ntakufundisha uweze kupata listening skills, speaking skills ila writing skills itakuja mwisho...
Ahahaa sitaki kiingereza cha kuombea maji Mkuu.naitaji kiingereza cha kufanyia presentation kubwa kubwaNenda kwa Rasi Simba
British Council, Posta.Ahahaa sitaki kiingereza cha kuombea maji Mkuu.naitaji kiingereza cha kufanyia presentation kubwa kubwa
British council napiga simu zao hazipokelewi Mkuu.bado kipo?British Council, Posta.
Wengine tumesoma Kayumba njia nzima mbona hata nanihii tumempita?
Mwaka jana mwishoni kuna mtu alienda. Kwa mwaka huu sina uhakika, ila waendee tu majibu utapata hata getini.British council napiga simu zao hazipokelewi Mkuu.bado kipo?
Aliimprove huyo mtu Mkuu au wazushi?Mwaka jana mwishoni kuna mtu alienda. Kwa mwaka huu sina uhakika, ila waendee tu majibu utapata hata getini.
Kwani najifunza ili niwe Mwalimu?ukishafundishwa na mm nasubiri uniteach si wanasemaga ladies first watoto wa mjini
Unaweza ukaimprove lakini mitihani yao ukafeli, ndiyo kilichotokea kwa jamaa.
Ahahaaa eti kanseliBRITISHI KANSELI
Dah jamaa alitokea chuo ama sec?Unaweza ukaimprove lakini mitihani yao ukafeli, ndiyo kilichotokea kwa jamaa.
Ndio tatizo la sisi wabongo kama tu kajitolea kukufundisha kwanini mm usinifundishe?
Ile issue imekaribia shosti halafu pale wengi ni maforeigner nisije nikakosa hata mchepuko.BRITISHI KANSELI
Ada yao sh ngapi Mkuu?Unaweza ukaimprove lakini mitihani yao ukafeli, ndiyo kilichotokea kwa jamaa.