Kingdom tower, 1km tall (1001m) Jeddah.

Kingdom tower, 1km tall (1001m) Jeddah.

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
1,382
Reaction score
518
Wakandarasi wameanza kazi rasmi, ya linalotarajiwa kua jengo refu kuliko yote duniani, KINGDOM TOWER.
Linatarajiwa kukamilika mnamo mwaka 2018,
Ghorofa ya 157 itakua ndio sehemu ya juu kabisa kuonekana kwa macho (610m) kabla jengo halijafunikwa na mawingu.
attachment.php
 
hadithi ya mnara wa babel
what are they want, kujiwekea jina sio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom