King'asti Uko Juu

Kyng'erst, you know I hate you now
and you won't stop me

angalizo: nilipe gharama za kurenew jina lako basi.
Siku hizi bwana kapunguza bajeti
ya mkorogo anamsaidia bibi mmoja hivi
kulipia ada watoto wake aloachiwa na bwanake
 
Kama mlima nanii Meru. . .!!Naaah KILIMANJARO.
 
Nimepitwaje na uzi huu wa kifamilia jamani? Mke mwenza na mkweo Husninyo mna kesi ya kujibu. Kwa nini hamjani 'dipu' toka jana? Hongera mke mwenza!

tuliona tusikusumbue huko maternity ward ulipo.
 

Nahisi umenisemea,
ahsante kwa mtoa maada!
Great one King'ast, go ahead!
 

Ila kusema ukweli King'asti is vere vere gudi....mi mwenyewe namfagilia kwa saana tu!!
 
Safi sana, hongera King'asti. Kama wengi wape, basi hata alofika level ya mwana isha utakuwa ameelewa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…