Hahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaa! Ngojea nikamwite.........na usikimbie.
mm hua ananichanya wapi ankua kachukia na wap kafrahika.
Ma mkwe wangu king'asti yupo juu kama dege la jeshi hana mpinzani. Mkwe nimekumisije!
hata mie namkubali!
..nawashukuruni sana wajameni..!mi ndo king'ast mwenyewe na hii ni ID angu mpya..!nimeamua kwa dhati kabisa kuwa mzalendo na mkweli kwa kureveal ID yangu nyingine ya teamo
King'asti kwa kujianzishia thread hajambo!
hii mbona sikuiona?
iko wapi like maana hii ni via mobile..
aaaaaahhhhh! :A S embarassed:
King'ast mie simpendi kutokana na avatar yake.ila katika uandishi na ushauri aaah!! Huwa ananikoshagapo
Mtoto hata hufai! Yaani umehamia small house mwaka mzima, kha! Mie nikiwa juu kama dege la jeshi wewe si utahamia angani kama dege la prezidaa? Kope zangu mbona umenizika sasa,lol!
Hahaha, matumbo banaa! Mi naogopa nzi, hebu nikuache. Ukijianzishia nistuie nikupe tafu basi
King'ast mie simpendi kutokana na avatar yake.ila katika uandishi na ushauri aaah!! Huwa ananikoshagapo
Sasa wewe una wivu kama mke mwenzio! Si ungenistua nimepaishwa, mchana nakula ugali najing'ata kumbe nimewekwa stejini! Acha wivu shostingo, lol
Umbea: eti mume karudi na bi mdogo?