SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Hao wanaosema HDMI kawaida tu waache ushamba wala HDMI haihusiani na uwakaji wa king'amuzi.
HDMI port inatoa picha angavu sana kuliko unapotumia port ya vga au yale matundu ya AV.
Uwakaji wake ni uleule hata kama ubadishe matundu.
Mimi kitu ambacho nadhani hawa wakongwe wanafanya ni kuweka tu security patches kwenye limfumo lao la kizamani badala ya kuboresha na ku-upgrade mfumo wao ili kuendana na spidi za kisasa.
Pia wangeondoa bloated features zisizo za maana ili kuifanya iwe user friendly badala yake limeshakuwa zito kama device ya android 5.0 iliyolazimishwa kubeba android11
Sent from my cupboard using mug