King'amuzi hiki kinachelewa kuwaka dah

King'amuzi hiki kinachelewa kuwaka dah

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,237
Au ni kwangu tu DSTV inachelewa sana kuwaka yaani inachukua dakika hadi 3 hivi na mbaya kama mpira unauwahi unakuta goli sijui nini jamani nifanyaje nirekebishe au
 
Nunua decoder toleo jipya havi scan mda mrefu.
 
Au ni kwangu tu DSTV inachelewa sana kuwaka yaani inachukua dakika hadi 3 hivi na mbaya kama mpira unauwahi unakuta goli sijui nini jamani nifanyaje nirekebishe au
usiwe na wasiwasi ni visimbuzi vyote tu vya dstv vinaload mda mrefu mimi mpaka 5 minutes. so utakiwi kukishutdown kila mara chomoa tv kiache labda 9t uktak kuslp
 
Au ni kwangu tu DSTV inachelewa sana kuwaka yaani inachukua dakika hadi 3 hivi na mbaya kama mpira unauwahi unakuta goli sijui nini jamani nifanyaje nirekebishe au
Ndivyo ilivyo HDMI acha ushamba hd lazima ifanye hivyo
 
Da! Kumbe startimes tunafaidi maana ukigusa tu imo tayari kishawaka ni chap kinaload
 
huwa vinachukua kijimuda kidogo lakini hakizid dk 3 mkuu vinaload HDMI cable kawaida tu babu.uvumilivu unahitajika sema wewe unakuwa una haraka tu
 
Back
Top Bottom