Wapendwa wanajamvi. Kwa sasa kuna ving'amuzi kadhaa wa kadha vinatangazwa ila ubora wake wa channeli na Resolution pia usasa wake ni muhimu kuzingatia. Ningependa wanaovijua vyema wanijuze ili nijiunge. DSTV ni nzuri lakini gharama za kila mwezi nazo zinakwaza. HizoContinental, Digitek, Easy TV, Ting, Startimes, na zingine kama zipo ipi ni zaidi?
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.