King'amuzi cha ukweli

King'amuzi cha ukweli

PRISCUS JR

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
448
Reaction score
236
Mliotaka kuona picha ya king'amuzi kinachofungua kwa line ya simu chanel za dstv hasa zile creem pendwa, ni hiki hapo chini tafuta ukikikipata nunua funga kwako ni bomba.
 
Attachments

  • HAWAK.jpg
    HAWAK.jpg
    31.1 KB · Views: 293
Kuhusu ufanyaji kazi wake nimeachwa gizani.

Kinatumia dishi dogo kama la dstv, kimejengewa modem kwa ndani unapachika line yoyote ambayo kwa eneo lako ina internet ya uhakika.
unajiunga na kifurushi cha mwezi haijalishi ni cha sh ngapi ama mb,gb ngapi. mradi ni cha mwezi. hiyo internet itazifungua chanel za dstv hasa zile za premium ambazo zina bei. natumia simu kuandika hivyo sitaweza andika mengi. kiufupi ndio hivyo.
 
Mliotaka kuona picha ya king'amuzi kinachofungua kwa line ya simu chanel za dstv hasa zile creem pendwa, ni hiki hapo chini tafuta ukikikipata nunua funga kwako ni bomba.

kinapatikana wapi hicho kinyafuzi ? bei.....?
 
Mliotaka kuona picha ya king'amuzi kinachofungua kwa line ya simu chanel za dstv hasa zile creem pendwa, ni hiki hapo chini tafuta ukikikipata nunua funga kwako ni bomba.
Acha kutuzingua hapa!Weka wazi we mwenyewe umekipata wapi tukifuate nasi huko!Halafu picha sijui umepiga na simu ya kichina siyo rahisi kujua ni king'amuzi brand gani?Vinginevyo acha kutuzingua hapa!
 
Kinatumia dishi dogo kama la dstv, kimejengewa modem kwa ndani unapachika line yoyote ambayo kwa eneo lako ina internet ya uhakika.
unajiunga na kifurushi cha mwezi haijalishi ni cha sh ngapi ama mb,gb ngapi. mradi ni cha mwezi. hiyo internet itazifungua chanel za dstv hasa zile za premium ambazo zina bei. natumia simu kuandika hivyo sitaweza andika mengi. kiufupi ndio hivyo.

Itakuwa vizuri kama utatuambia kinapatikana wapi na kwa bei gani.
 
nilishatabiri......bado nangoja,zitakuja hadi za double line,,,,,,na zitauzwa kwa mafungu......nangoja wachina wafanye mambo,,,vitakuja ving'amuzi vya kila aina,,,,mtaniambia
 
mleta mada umeta mada lakini huelezi wapi vipo na vipi mikoani vinapatikana???
 
Wengine mnaulizia kwa spidi sana yawezakuwa mmetumwa na dstv mtoa mada kaa chonjo.
 
Acha kutuzingua hapa!Weka wazi we mwenyewe umekipata wapi tukifuate nasi huko!Halafu picha sijui umepiga na simu ya kichina siyo rahisi kujua ni king'amuzi brand gani?Vinginevyo acha kutuzingua hapa!

Huoni kama ni Hawk?

Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
 
hv ving`amuzi ni ilegal,dstv watavifungia tu.Ni vya kichina,build in moderm na sehemu ya kuingiza sim card then kinakuwa configured into dstv channels(premmium).unachofanya ni kununua bando la internet ata la siku,lkn mwezi ni best hasa airtel tsh 2500.unajiunga na internet basi unaendelea kuangalia mpaka bando liishe(mwezi mzima).mwanzo vilikuwa vinaingia kutokea Nairobi ila sasa vipo hapa dar.Its 100% wizi dhidi ya dstv,vinauzwa tsh 35000-50000.au chini kwani gharama yake mpaka fundi akufungie ni 150000.
 
wapi kinapatikana na kwa bei gani? sema tu ni nyumba za kupanga, lakini Mwanza satelight cable tv inaniunganisha na ulimengu, japokuwa wanaboa na tv zao za kihindi kuwa nyingi
 
hv ving`amuzi ni ilegal,dstv watavifungia tu.Ni vya kichina,build in moderm na sehemu ya kuingiza sim card then kinakuwa configured into dstv channels(premmium).unachofanya ni kununua bando la internet ata la siku,lkn mwezi ni best hasa airtel tsh 2500.unajiunga na internet basi unaendelea kuangalia mpaka bando liishe(mwezi mzima).mwanzo vilikuwa vinaingia kutokea Nairobi ila sasa vipo hapa dar.Its 100% wizi dhidi ya dstv,vinauzwa tsh 35000-50000.au chini kwani gharama yake mpaka fundi akufungie ni 150000.

kwani watanzania bila kuiba tunaishi? sema ukweli wako
 
(+)kweli wizi ni sehemu ya maisha yetu ya kikazi kila siku(wanaita dili,wengine uchakachuaji n.k)na ndiyo inayochangia rushwa pia upande wa (-)gharama za kulipia vitu kama hivyo kihalali ni kubwa sana kwa kipato cha mtanzania wa tabaka la chini anayeishi chini ya kipato cha dola moja kwa siku ambaye naye anapenda vitu vizuri kama wale wa tabaka la kati na (la juu)wanashindwa kumudu,wafanye nn?........just buy bundles whenever you can,you will watch dstv throughout.....the minimum topup voucher is 300 to 500
 
Back
Top Bottom