Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,944
- 810
hv ving`amuzi ni ilegal,dstv watavifungia tu.Ni vya kichina,build in moderm na sehemu ya kuingiza sim card then kinakuwa configured into dstv channels(premmium).unachofanya ni kununua bando la internet ata la siku,lkn mwezi ni best hasa airtel tsh 2500.unajiunga na internet basi unaendelea kuangalia mpaka bando liishe(mwezi mzima).mwanzo vilikuwa vinaingia kutokea Nairobi ila sasa vipo hapa dar.Its 100% wizi dhidi ya dstv,vinauzwa tsh 35000-50000.au chini kwani gharama yake mpaka fundi akufungie ni 150000.
Hiyo 35,000 ndio bei ya kununulia au kuagiza e bay au amazon sasa hadi kifike bongo kitakuwa ni sh ngapi bado ujampata fundi wa kukufungia,kama ingekuwa ni 150,000 wengi wangekuwa nacho na uagizaji ni wa masharti mengi coz its illegal stuff.