King'amuzi cha IPP (Digtek) kuanza rasmi Jumatatu!

King'amuzi cha IPP (Digtek) kuanza rasmi Jumatatu!

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Habari nilizozipata jioni hii kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa BTL kuna tetesi kuwa wataviweka sokoni rasmi na washafunga mitambo yao. Ni full kuenjoy kwani unatumia antena ya ndani (indoor antena) si kama startimes. Bei zake zitaendana na ubora wao ni full HD, MP4, Waweza kurekodi vipindi.
Kwa mwezi utalipia 6000 na vitauzwa kwa sh.140,000.
 
Kuweni makini hao jamaa ni wachina wa East afrika!
 
Nahc wataanza na package moja 2.
 
channel 20 za ukweli za Mengi zote zipo ndani radio one na capital tv
 
Alikuwa wapi siku zote hizo? TCRA hebu fungukeni, la sivyo hiyo teknlojia ya digital inaanza kuwa kero na mzigo kwa watanzania. Sasa mbona kila mtu anibuka na decorder yake kwa kisingizio cha ubora wa hali ya juu.

Tekinologia iliyo bora si ile inayofanya maisha kuwa magumu
.
 
Nimeona ofisi yao pale makumbusho ipo tayari kwa kazi.
 
Huyo mfanyakazi ndiye anayesema kuna tetesi au hizo habari wewe ndio unaziita tetesi? Watu wengi inawezekana hawajui mambo yanayoendelea nchini tangu mitambo ya analojia izimwe.
 
Alikuwa wapi siku zote hizo? TCRA hebu fungukeni, la sivyo hiyo teknlojia ya digital inaanza kuwa kero na mzigo kwa watanzania. Sasa mbona kila mtu anibuka na decorder yake kwa kisingizio cha ubora wa hali ya juu.

Tekinologia iliyo bora si ile inayofanya maisha kuwa magumu
.
Au hii digitali tuigeuzie kibao kama gesi ya Mtwara. Iweje watuuzie kisumbufu kwa kilo 140?
 
Huyo mfanyakazi ndiye anayesema kuna tetesi au hizo habari wewe ndio unaziita tetesi? Watu wengi inawezekana hawajui mambo yanayoendelea nchini tangu mitambo ya analojia izimwe.

si umepata habari lakini? Yani wewe ndo umeelewa sana kuliko walocomment eh! Wa2 bwana!
 
Hapa ndipo serikali inapolala...kila mtu anaibuka na kimamuzi chake ...so ili uone local chanel kama 5 lazima uwe na decoder si chini ya tatu. Huu ni uhuni wa makusudi
 
Sasa wewe mbona mbaguzi, kamuulize dialo swali kama hilo, hata hapa dar kuna zuku, na wengine wengi ambao walitake advantage ya kujua ujio wa policy hiyo ya digital na wakaanzisha... sasa kuna ubaya gani kwa mengi? na alikuwa kwenue utangazaji siku nyingi?

Alikuwa wapi siku zote hizo? TCRA hebu fungukeni, la sivyo hiyo teknlojia ya digital inaanza kuwa kero na mzigo kwa watanzania. Sasa mbona kila mtu anibuka na decorder yake kwa kisingizio cha ubora wa hali ya juu.

Tekinologia iliyo bora si ile inayofanya maisha kuwa magumu
.
 
Hatudanganyiki kwa sasa, star times miyeyusho mitupu, ting, kadhalika, sijui dstv hainunuliki japo ina stations nzuri...sasa Mengi sijajua atakuja na nini? Kama hana guarantee ya kuonyesha EPL na SPL naye hatumtaki!
 
Back
Top Bottom