ilo la uagent au sio naona halina issue apa.
King'amuzi hiki kinasifa zifuatazo
1)inakupa picha angavu na ubora wa hali ya Juu HD
2) Ina port ya HDMI
3) Iko kwenye mfumo wa kisasa zaidi wa MPEG4
4) Kinatumia flash
5) Ina uwezo wa kurekodi, kusimamisha na kuendelea na matangazo ya moja kwa moja PVR
6) Nirahisi kuunganisha(Plug and Play)
7) Haihitaji Dish ( inatimia antena ya kawaida kabisa)
Izo ndo sifa kuu 7 za nguvu inazozitofautisha na ving'amuzi vingine vy kishamba.
Muonekano wake ni mzuri sana nani wa HD na kinatumia antena ya ndani tu yoyote.Bei ni Tsh 160,000 pamoja na atena na kifurushi cha mwezi mmoja.Na bill yake kwa mwezi ni elfu 6 tu, kimajumuisha local 10 na International news kidogo.Kwa sasa kama unaitaji waweza kunijulisha au piga no 0784635662.Get connectes with Digteck
Mkuu mbona special channels
za michezo, movies, musics, animal, Science, Indian, Fashion nk havipo?
Hapo naona baadhi tu ya Local channels(Hata DTV inayoonyesha klabu bingwa ulaya haipo), News channel na Religious channel.
Watu hatutaki channel nyingi pekee bali tunataka Channel muhimu na varieties!!
Vipi kuhusu Other African attractive channels kama Citizen, KBC, UBC, TVZ, SABC, Channel-e, TVM?
Basi wanaokiuza wasitegemee kupata senti toka mfukoni mwangu. King'amuzi kisicho na chenga mi cha nini? Raha ya futubolu chenga, sasa kama hamna chenga ina maana magemu ya Asenali na Baka sitayaona kimadoido.
Watanunua washabiki wa Man U na Chelsea tu waliozoea mipira ya kubutua
Jamani kwani channel hizo 15 ni zipi zitaje tafadhali isije kuwa kuch kuch tu.hiki kidubwasha sio HD wala hakikaribii kuwa HD, ila kwa mtu atakaye migrate kutoka startimes kuhamia digitek ata notice tofauti ya ubora wa picha na sauti.
kwa kukiita HD wanaendeleza udanganyifu tu, hata sasa ukinunua wanakwambia utapata channel 20 ila chaajabu mi naona 15 ukiwauliza wanasema "tuliimaanisha zitakuwa 20 ivi karibuni ila kwa sasa kweli ni 15''
Basi wanaokiuza wasitegemee kupata senti toka mfukoni mwangu. King'amuzi kisicho na chenga mi cha nini? Raha ya futubolu chenga, sasa kama hamna chenga ina maana magemu ya Asenali na Baka sitayaona kimadoido.
Watanunua washabiki wa Man U na Chelsea tu waliozoea mipira ya kubutua
Wadau kuna mtu humu ambaye ameshaanza kutumia kingamuzi cha digitek, je muonekano wake upoje ni HD kweli. Umeki rate vipi.
Asanteni.
Ndiyo maana Watz huwa tunashindwa biashara,mkuu nilidhani wewe utakuwa agent tuongee biashara.
HD ni High Definition
kwa maana kwamba muonekano wa picha zake ni wa kiwango cha juu sana na
ziko clear. Hakuna chenga hata kidogo.
Na hili lenye vyombo vya
habari wanaosema baada ya mwezi mmoja hawarusha matangazo tena
mnalichukuliaje ndugu zangu.Ni ukweli mtupu kuwa watu wengi hawajununua
ving'amuzi hivyo habari kutowafikia.
Muonekano wake ni mzuri sana nani wa HD na kinatumia antena ya ndani tu yoyote.Bei ni Tsh 160,000 pamoja na atena na kifurushi cha mwezi mmoja.Na bill yake kwa mwezi ni elfu 6 tu, kimajumuisha local 10 na International news kidogo.Kwa sasa kama unaitaji waweza kunijulisha au piga no 0784635662.Get connectes with Digteck
acha kudanganya watu. king'amuzi gani kinaonyesha picha ya HD wakati matangazo hayarushi kwa mfumo wa HD?. kwa tanzania hakuna TV station inayo rusha matangazo kwa HD.
Ndugu, usidanganyike na matangazo.Supersport, Studio, ESPN wapi hz channel. Digitek, Mh!
Mkuu mbona mnataka kuchanganya watu? Kwenye matangazo mnasema mteja akisha nunua na kufungiwa kingamuzi hakuna mambo ya bill za kila mwezi! Hapa tena unasema bill ni elfu 6 tu kila mwezi kwa ajili ya kuangalia local channels - kwa nini wananchi waghalimie local channels? Jaribu kuwa wawazi kidogo, je mkiongeza International channels zaidi si ndio bill zenu zitapaa zaidi!!
Kwani na nyinyi TCRA imewapa liseni ya content multiplexing? kama jibu ni +ve mbona hamtangazi jina la kampuni yenu?
ww itakuwa unatoka shamba tena mbwinde hujui hata mpeg4 ni quality ganiacha kudanganya watu. king'amuzi gani kinaonyesha picha ya HD wakati matangazo hayarushi kwa mfumo wa HD?. kwa tanzania hakuna TV station inayo rusha matangazo kwa HD.