Nyumba za kupanga Nini Unapaswa Kuepuka?

Nyumba za kupanga Nini Unapaswa Kuepuka?

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
3,107
Reaction score
6,303
Wadau, wakati ukiwa kwenye nyumba za kupanga, kuna mambo ambayo ni bora kuyaepuka. Je, unadhani ni yapi? Ni nini kimekushirikisha au kuona kinaweza kusababisha matatizo?

Wacha tuchangie mawazo ili kila mtu awe makini na usalama wake.
 
Ukiona nyumba ina mazindiko hama, mara uone mashilingi yamechimbiwa ardhini ndani au nje ya nyumba, mara uone ngozi ya mnyama imefukiwa uani, mara hirizi ukutani hama fasta
 
Waskujuejue sn mi nliwahi ishi nyumba ya kupanga miaka 3 mwny nyumba mpk majiran hawakuwahi jua nafanya kaz gn, naitwa nani maana kodi nlikuwa nampa wife ndo anatoa, hawakuwahi kujua kama napgaga story maana muda mwng npo cool na nimekunja ndita nliogopeka balaa. Ila ilinpa heshma sn nlikuwa nksema ktu knafuatwa kama nlivyosema
 
UKila mtoto na wagen wa mwenye nyumba kausha kuwa kauzu acha kuonesha mazoea. Ukifanya hivo utawala nyumba nzima na hywa hawaambiani. Kila mmoja atajitahud kumficha mwenzie akijua yupo peke yake
 
Back
Top Bottom