Mkuu hilo limeathili almost dunia nzima, inavyosemekana king'amuzi cha continental, ting na baadhi yao wanaotumia satellite ya AMOS, hiyo satellite imeshambuliwa na magaidi ndo maana huduma imekata mazima,kwa mfano continental walisema ni tarehe za mwanzo mwa December watakuwa wamehamia satellite nyingine though bado mpaka sasa,tatizo lingine kubwa ni watoa huduma wa hivi ving'amizi yani hawakutoa taarifa yoyote yani nimefanya kuwapigia simu ndo kuniambia tatizo ambalo lipo inasikitisha sana kwa maana service they delivery isnt at right quality especially in term of customers care , walipaswa kutoa taarifa wenyewe sio baada ya kuwapigia, wanapaswa kuwa karibu a wateja wao kuwapa taarifa kwa yanayo tokea na kuwapa matumaini na uvumilivu wateja wao na hata kutoa time frame i mean muda kwa makadirio kuwa tatizo litakuwa solved kwa wakati gani na kwa asimilia ngapi, continental mnatuangusha