Heeeeeeeeeh. Unasema?Ving'amuzi ni fekiiii
Kununua used sio nzuri sana hasa hivi ving'amuzi otherwise mtu anayekuuzia akufanyie umiliki toka kwake kuja kwako!Naomba kujua bei ya King’amuzi cha Azam tv na dish lake used
Jipinde tu ununue kipya bro. Utakuwa na amani sana. Ila used kwa laki moja ama 90,000/- unapata kwa mtu, ila not guaranteed. Kama uko serious ruka PM kwanguNaomba kujua bei ya King’amuzi cha Azam tv na dish lake used
Kama unakiuza nichekiAzam walianza vizuri sana ila sasa nataka nikigawe king'amuzi chao,yaani channels kibao wamezitoa ,hakuna Nigeria movie AMC /Star etc zote wameondoa ,Fox hakuna , Fine living,E! Ent wameondoa yaani full utopolo.
Kuna 115,000 hapa fasta njoo tumalize kaziAzam walianza vizuri sana ila sasa nataka nikigawe king'amuzi chao,yaani channels kibao wamezitoa ,hakuna Nigeria movie AMC /Star etc zote wameondoa ,Fox hakuna , Fine living,E! Ent wameondoa yaani full utopolo.