King'amuzi cha Azam tv na mvua

muhuwesichimalamyasi

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
306
132
Napenda kutoa malalamiko ya king'amuzi cha Azam kila inaponyesha mvua kinagoma kuonyesha chaneli.

Kwa aliye karibu na kampun afikishe ujumbe.
 
Aise hili nitatizo kwa azamtv yani shda.mm mwnyewe napata shda sna nahili tatizo nilifikiri nalangu tu kumbe wote...azam pls rekebisheni hili tatizo napia locol chanel wasituchaji watoe free.chanel za dini wamebase upande mmoja ya uislamu chanel kibao za kikristo hakuna hili pia waliangalie.
 
Nlijua kwangu tu

Wanasema mvua ikinyesha zima,hata kama ikinyesha mwezi mzima mfululizo uwe umezima
Napenda kutoa malalamiko ya king'amuzi cha Azam kila inaponyesha mvua kinagoma kuonyesha chaneli.

Kwa aliye karibu na kampun afikishe ujumbe.
Napenda kutoa malalamiko ya king'amuzi cha Azam kila inaponyesha mvua kinagoma kuonyesha chaneli.

Kwa aliye karibu na kampun afikishe ujumbe.
Hata DSTV inazingua mvua ikinyesha....hao wanatumia satelite mvua ikinyesha mawingu yanaathiri mawimbi ya satelite
 
Wakuu startime ndo mambo yote hakuna cha mvua wala nn muda wote nacheki hata kama ikinyesha mvua ya mawe hataaaaaa.sihangaiki kuzima tv nakula raha tu muda wote...,,,
 
Back
Top Bottom