Tangu ninunuwe king'amuz chenu nashindwa kuelewa mvua ikianza kunyesha inakata haionyesh hata kama mvua ni kidogo,nn tatizo?nimejalibu kwenda makao makuuu mkoa,kuwaeleza wanasema et waga iko hivyo mvua ikianza lazim likate kwa sababu ya mawingu kufunika setterit tena wanasema ni ving'amzi aina zote,mm hii haiingii hakilin maana walio na star time s, continental,dstv mbona zinaonyesha tu hata mvua iweje? Au mitambo yenu haiko sawa nami saivi slipiiii kifulushi maana ni hasara tupu,unalipa mvua ikiianza linakata maana yake nn sasa?