Habar zenu Wakuu!!
Ni takriban wiki sasa tangu king'amuzi cha Azam kigome kuonyesha channel. Yaani iko hiv nikiwasha king'amuzi kinaleta channel list automatically then zinajirusha zenyewe bila kuonyesha video na hapo hufanyika pasipo mm kubonyeza popote baada ya kuwasha ,kwa ufupi channel zinajirusha zenyewe bila mm kubonyeza remote .Sijajua tatizo ni nini
? Naomben msaada wakuu
Mimi nilikuwa na tatizo Kama hilo lakini leo usubuhi nilivyowasha ikaja msg kwenye screen ya kufanya updating, ilivyomaliza mambo yakawa bien. Ila sikupiga simu kabla cus serv kuulizia. Nadhani issue ni monthly updates, may be zimechelewa.