Habari zenu jamani,nina king'amuzi cha Azam,Upande wa picha kuna muda inaonyesha na kuna muda picha inakata,na picha picha inapokata kuonyesha inaleta maneno haya,Smartcard is not Correctly,je nifanyaje kuliondoa hilo tatizo
Nimejaribu kukipeleka ofisini kwao pale Tazara kikakaa siku tatu naenda kukichukua lakini tatizo bado lipo palepale,Namba zao nikipiga wananiambia nichomoe kadi na kuirudishia lakini naona bado inaleta picha na kukata
Hapo pagumu sasa, pole lakiniHaijakwanguka sana
Hapo pagumu sasa, pole lakiniHaijakwanguka sana