King'amuzi cha Azam hakiwaki

King'amuzi cha Azam hakiwaki

kitonger

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
1,164
Reaction score
1,539
Habarini Wakuu.Nina King'amuzi changu cha azam sikukitumia yapata 4 months,leo nakiwasha hakiwaki..nikajua tatizo ni adapter,nikakijaribisha kwa jirani yangu kupitia adapter yake..lakini bado tatizo lipo vilevile..Msaada wakuu nifanyaje.
 
Angalia kama umeme upo inawezekana LUKU imeisha.
Umeme upo..nimekitest kwa jirani pia hakiwaki..hapa nna option ya kwenda makao makuu..Ila ndo first time..vipi gharama zao zinazidi 10k?
 
Habarini Wakuu.Nina King'amuzi changu cha azam sikukitumia yapata 4 months,leo nakiwasha hakiwaki..nikajua tatizo ni adapter,nikakijaribisha kwa jirani yangu kupitia adapter yake..lakini bado tatizo lipo vilevile..Msaada wakuu nifanyaje.
itakuwa upande wa power circuit yake kuna kitu kimekufa.. peleka tazara kunaofc za azam pale wanashughulikia kama upo dar
 
itakuwa upande wa power circuit yake kuna kitu kimekufa.. peleka tazara kunaofc za azam pale wanashughulikia kama upo dar
asante mkuu..vipi gharama zake.
 
Kimeungua itakuwa! Km kulinyesha mvua na radi zikapiga Basi itakuwa kmeungua! Kwa dar wanatengeneza bure kwa huku kwetu mafundi elfu 20
 
Back
Top Bottom