King'amuzi cha Aljazeera

King'amuzi cha Aljazeera

mbogojnr

Member
Joined
Jun 26, 2012
Posts
30
Reaction score
15
Wanajamvi naomba msaada wenu nimetumiwa zawadi na ndugu yangu ya king'amuzi cha aljazeera ili niwe naangalia mpira kupitia Beinsports, sasa tatizo langu ni kwamba nimesikia huku kwetu matangazo yao waliyapunguzia nguvu hivyo installation ni ngumu kidogo. Naomba kama kuna anayefahamu vitu vinyohitajika ili kuweza kutumia hiki king'amuzi anifahamishe tafadhali hasa kwa mwenye utaalamu huo maana nimekiweka tu sasa ni karibia mwaka mzima. Asanteni na karibuni kwa msaada
 
Tuambie kwanza namna utakavyokirecharge
Nitakuwa namtumia huyo huyo aliyenitumia kurecharge otherwise kama kna namna nyingine ya kubadilisha akaunti na usajili ili nirecharge hapa hapa nisaidiwe na hilo
 
Bein wapo Eutelsat 25B @25.5E pamoja na Eutelsat 7 @ 7W ambazo zote beam zake hazifiki sehemu kubwa ya Tanzania
 
kama upo dar utapata hizo channel
Niko dar nazipata hizi makitu
IMG_20190130_233418.jpeg
IMG_20190130_233359.jpeg
IMG_20190130_233356.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanda ya ziwa via freesat or any mpeg4 fta receiver with power vu key unaipata via nilesat
 
Back
Top Bottom