King of all Comedian in Tanzania

King of all Comedian in Tanzania

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Je Unafikiri anastaili kupata tunzo ya JK kwa mchango wake wa kuwafurahisha watu hapa nchini na afrika mashariki kwa ujumla. Au mpaka afe tumzike kwa mbwembwe

king majuto.jpg
 
Majuto bado ana ule uchekeshaji wa jukwaani, wa kimaneno zaidi. Anahitaji ushauri wa kitaalamu.
 
Huyu mzee ni balaa kwa comedy, tunasubiri afe ndio tuanze kumsifia.
 
Aisee sipendi comedy zake, nikiona nazima kabisa TV
 
ana uwezo mzee wa watu na tena ana kwenda na wakati. Huyu ni legend kwa bongo hii. Laiti angelikuwa ulaya basi maisha yake yasingekuwa haya anayoishi bongo. Mfano mr bean kule uingereza.
 
Ifike wakati tusitegemee kupewa promo, bali tujipe promo..

Atengeneze DVDs na clips kibao na kuzirusha kila mahali youtube n.k., pia hata kama uwezekano upo aweke na subtitles kuweza kuuza hata nje ya nchi, kwa mtoto wa sasa anawajua wa kina ZeComedy kuliko huyu baba.., why ? (Exposure..)

Kwahio kama watu hawamtambui sio kosa la mtu mwingine bali yeye mwenyewe na washauri wake..
 
I like bukuku. He makes intelligent jokes, with current news.
 
Huyo mzee yuko fit, mpange sehemu yoyote ya mchezo anakuvunja mbavu. Mimi napenda ile filamu aliyocheza kama teja mwanae akiwa Kitale.
 
Back
Top Bottom