Sungura Toto
Senior Member
- Mar 7, 2013
- 198
- 43
Nawasalimu wote humu jamvini wakubwa kwa wadogo!! Naombeni mnipokee na mnieleze mnavyoishi humu!! asanteni mungu awabariki sana!!
Karibu sana jamvini, SUNGURA MPOLE ni baba yako?
Basi yumo humu jf hahahaah!Yule alitorokaga home siku nyingi mkuu umemwona wapi!!