King Cobra Vs Python

Hujakutana Na black mamba
Mi enzi hizo porini sana tu nimeshakutana nao,nikishashika silaha amekwisha,uzuri wa hao wadudu (hasa hao wa sumu sio wa kumeza watu) ukimpiga moja ikimuingia vizuri basi umemmaliza.
 
Huwa wanafeed kwa kumeza au kula vitu vilivyo vidogo kulangana na huwezo wa kuwinda kuvunja na kumeza...
king cobra anatabia ya kula wenzake. hata kifutu na koboko hawafurukuti kwa huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…