King Cobra Vs Python

Nifanyie utani wa vitu vyooote duniani, sio kunletea utani wa nyoka wala toys zake. Utajuta na utanichukia maisha yako yote
 
Inatisha aisee.Nikipewa nafasi moja tu ya kuamua jambo na linakuwa basi ningeamua nyoka wote watoweke duniani.
Nyoka ni kiumbe hatari sana, hasa haya majoka makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…