king"amuzi gani kina superspot msaaada plzzzzz

king"amuzi gani kina superspot msaaada plzzzzz

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,655
Reaction score
8,590
nataka kununua king:amuzi ambacho kitaniwezesha kuona mpira wa nje naomba msaada nikipi hicho kwa hapa tanzania
 
Chenye supersport ni king'amuzi cha DSTV
 
abudhabi malipo ni rahisi sana usd 300 kwa mwaka,ila installation yake ndio expensive,inaeza fika hadi Tshs 1m.hapo ndio utata ulipo.
 
Back
Top Bottom