Kindumbwendumbwe cha ujana na maisha...!

Lakini ni mimi tu na yule mama ndio tuliokuwa tunaujua ukweli huo, halafu na mungu.

Mtambuzi nimeipenda simulizi hii ina mafunzo yake ila siku nyingine Mwenyezi Mungu mmwandike kwa kuanza na herufi kubwa kuonyesha waishi kwa hofu Yake tu...........................na wala siyo vinginevyo.
 
Last edited by a moderator:
Jaman wamama na wadada hebu tuwe na upendo kwa watoto wa wenzetu kwan hatuma maagano na mungu kuwa hata wa wakwetu tutawalea wenyewe mpaka wawe watu wazima!

Na nyie wababa hebu kuwen makin basi kwenye pita pita zenu na km kinga haikihusika dumisha mawasiliano hata kwa miezi kadhaa ili km kuna lolote mjue na kutambua watoti zenu na kuepusha mambo km haya.
 
Wamama na wadada wa sasa hawana upendo
siyo kwa hao wakufikia tu hata kwa waume zao pia upendo umepoa sana
usishangae wababa kibao wanalala kila mtu chumba chake,
akiamka asubuhi katinga suti na gari la maana huwezi kujua haya yote,
ila kwa ujumla upendo ni 0%.

Jaman wamama na wadada hebu tuwe na upendo kwa watoto wa wenzetu kwan hatuma maagano na mungu kuwa hata wa wakwetu tutawalea wenyewe mpaka wawe watu wazima!

Na nyie wababa hebu kuwen makin basi kwenye pita pita zenu na km kinga haikihusika dumisha mawasiliano hata kwa miezi kadhaa ili km kuna lolote mjue na kutambua watoti zenu na kuepusha mambo km haya.
 
Mtambuzi uko vizuri sana kwenye hizi hadithi za mahusiano na mambo ya kijamii. Kuna mambo mengi tunayojifunza kwenye hadithi kama hizi
 
Back
Top Bottom