Congratulations sister. Wadau mnasema kadesa p'papers, mbona wengine wanadesa ila hawafiki hilo daraja. Ana uwezo, tumpe hongera zake ili na wengine wafuate huo mwenendo hasa Dada zetu. Heko SALOME,
You must be out of your holy mind to tell that.At least not the computer science I know..And you have the answer for yourself,could you explain why watanzania wanaogopa science? do you have an answer for that?Na wewe hapo juu kwenye red Ulinganifu ghani unaozungumzia,wa kabobo au logical argument?..What do you know of logical /mathematical argument?Or for you uchambuzi unaojua ugumu wake ni wa kina mwanakijiji?And you are talking of ulinganifu?..shyttt can't get a sense out of your analysis don't make sense at all...Let computer science be computer science usidanganye watu wasiojua au usione kuwa watu wa computer science hawana uwezo wa kuchangia upupu sana kama hizi basi ukaanza ku-mislead watu....You should compare economics and Law at least both of them are categorically social sciences but stop misleading.The girl deserve the credit.Kupata 4.7GPA Sio mchezo with computer science.I performed far away better than her in Form Four and six but she has battered me in college can't match her hussle...Give her some damn respect folks!
Tena wakati mwingine mitihani ni open book kabisa lakini bado watu hawapati 100%? Kudesa na ku preidct yatakayotoka pia ni akili huoni desa za mchina zinavyotutoa huku dunia ya wavivu. Hongera Salome umetupa hadith/mfano ya kuwaeleza watoto wetu wakike wanaokimbia science subjects
Sina hakika na chanzo cha habari yako, mimi ni moja ya wahitimu wa mwaka huu na aliyetangazwa mwanafunzi bora kwa maana ya GPA ni MARTIN CHEGELE. Huyu alikuwa Tanzania One form4 na mwaka 2007 alikuwa Tanzania one form 6. Labda kama huyo dada aliongoza kwa kozi yake na si chuo kizima mkuu.
wewe unaweza kuwa mmoja wa wanaodhani kuwa comp. science ni Ms. Office, kuwasha na kuzima computer, troubleshooting na updating antivirus. Kuna kitu kinaitwa Computer Programming mwenye akili ndogo ndiye ataita rahisi. Imagine one of the linux distribution contains 283000000 source line of codes.Computer science ni kati ya kozi rahisi sana kwani vitu vipo direct haviitaji uchambuzi sana wala ulinganifu kama masomo mengine mfano uchumi, sheria etc. Tatizo ni lile lile watanzania kuogopa Science. Pili ukiweza kusolve past papers (MADESA) za miaka 5 na kwa mfumo wetu wa semester lazima mitihani hutoka humo humo jinsi ilivyo. Hata hivyo kwa perfomance yake anastahili pongezi.
SSalome, licha ya kusoma masomo magumu ya Sayansi ya Kompyuta, ameweka rekodi ya kuwa Mwanafunzi Bora wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa mwaka huu, kutokana na kufaulu kwa Daraja la Kwanza akipata pointi 4.7 kati ya 5 katika masomo.
Ni kweli anastahili pongezi kwa kufauru kwa kiwango kizuri cha daraja la kwanza, lakini SI KWELI KUWA compyuta sayansi ni miongoni mwa kozi ngumu saana hapa UDSM. Kwani kompyuta sayansi hutoa wanafunzi wa daraja la kwanza karibu kila mwaka, lakini huwezi ona kitu kama hicho kwa watu wanaosoma masomo ya hesabu, fizikia, chemia, biolojia nk. Ugumu wa Compyuta sayansi haulingani na hayo masomo mengine
Natofautiana na wewe bado computer science ni ngumu sema tuu watu wengi vichwa ndio wanapenda kusoma hiyo course ndio maana unaona wanafaulu kwa kiwango kikubwa. Kozi inayoaminika kuwa ngumu kabisa ni Medicine ikifuatiwa na vitu kama Aerospace Engineering wala sio sidhani kama hizo nyingine zinafua dafu kwa medicine.
tunampongeza...................aje mtaani tumuone kwa vitendo na si nadharia ya darasani
This guy is good.
Looks retarded,not so social but insanely intelligent.
But whether the source is true or not,Salome is definitely smart and driven...that GPA seem very much her.
Ameangalia pakeji ya mshahara, ipi iko juu zaidi, kufundisha au kufanya kazi sigara!! Inaonekana sigara wanalipa zaidi, so amejoin nao ili aweze kulipa mkopo wa bodi ya mikopo.
Unatumia kigezo gani kusema kwamba Medicine ni course ngumu kabisa kupita zote? Ugumu wa course ni kichwa chako mwenyewe. Hata course ya kiswahili ni ngumu pia. Hata hivyo, katika fani za engineering and Earth Science course ngumu ni "Space Geodesy" and "Satellite Altimetry" ikifuatiwa na "Electronics Engineering" na zingine zinafuata. Kumbuka ugumu wa course ni kichwa chako mwenyewe. Hao unaodhani wanasoma course ngumu ya Medicine, lakini wakienda Engineering hawawezi kitu. Kumbuka pia Prof. Mathew Luhanga mhandisi wa kuaminiwa ali-disco alipojaribu kusoma Law.Natofautiana na wewe bado computer science ni ngumu sema tuu watu wengi vichwa ndio wanapenda kusoma hiyo course ndio maana unaona wanafaulu kwa kiwango kikubwa. Kozi inayoaminika kuwa ngumu kabisa ni Medicine ikifuatiwa na vitu kama Aerospace Engineering wala sio sidhani kama hizo nyingine zinafua dafu kwa medicine
Sina uhakika/imani sana na calculation za GPA UDSM. Inawezekana ana 4.7 but hizo marks zake ukisipeleka chuo kingine ni 3.5...bu anyway kwa chuo chake hongera
udsm, wanakrem sana!