mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,832
- 37,480
Kwa hiyo hakuna foleni dar?, kila siku nasota kweli kutoka Temeke kuja mlimani city halafu unadanganya adharani?
nyie wageni wa dar mliofika baada ya kupewa ajira na mama samia,mnasumbua.
hapo tazara ilikuwa ni kero isiyoelezeka,achia mbali ubungo.