Kinana: Wakati umefika sasa Serikali kujenga Barabara ya Dar es Salaam - Tunduma kuwa njia 8

Moja kwa moja kwenye mada.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa upande wa Bara Comrede Kinana ameitaka Serikali ya CCM kuanza maandakizi ya kujenga Barabara ya TANZAM kutoka Dar hadi Tunduma kuwa njia 8 yaani 4 kila upande badala ya vilaka vilaka na vipande vipande..

Ameyasema hayo Mbeya kwenye mkutano wa Ndani wakati akizungunza na viongozi na Wananchi.

Amesema hilo litakuza uchumi wa Nchi kuliko Sasa ambapo hiyo barabara ni kero tupu.

Hongera Kinana kwa kuwapa changamoto watu wa serikali hususani Wizara ya Ujenzi na TanRoads ambao walikuwa wanapanga kujenga njia 4 kwa vipande vipande.

Tunataka viongozi wanao think big kama wewe.👇
Hata 8 ni ndogo, weka 12 kabisa
 
Si kweli. Wewe huna gari. Wenye magari wanashukuru fly overs zimesaidia.na bado hizo njia nne zitasaidia. Tuachen roho mbaya za kimaskini. Mimi nashauri fly overs ziongezwe. Yaani umwambie mtu mwenye gari kuwa fly over ya ubungo na Tazara haijasaidia.atakuona huna akili kabisa na hujielewi

Hana gari huyo hata pale chang’ombe na uhasibu imefunguliwa upande 1 ila zinasaidia sana
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa upande wa Bara Comrede Kinana ameitaka Serikali ya CCM kuanza maandakizi ya kujenga Barabara ya TANZAM kutoka Dar hadi Tunduma kuwa njia 8 yaani 4 kila upande badala ya vilaka vilaka na vipande vipande..

Ameyasema hayo Mbeya kwenye mkutano wa Ndani wakati akizungunza na viongozi na Wananchi.

Amesema hilo litakuza uchumi wa Nchi kuliko Sasa ambapo hiyo barabara ni kero tupu.

Hongera Kinana kwa kuwapa changamoto watu wa serikali hususani Wizara ya Ujenzi na TanRoads ambao walikuwa wanapanga kujenga njia 4 kwa vipande vipande.

Tunataka viongozi wanao think big kama wewe.
A forgotten desire ...
 
Hilo guta lako na baiskeli huko Kazulamimba unakoendeshea wasalimie. Tunaokaa dar es salaam na heka heka za usafiri tunakuona unatapika na wala huongei.
Dar bado Kuna foleni kali, natoka Temeke kwenda mwenge kila siku nakutana na hii kadhia, sasa ngoja matrafiki wapunguzwe sijui itakuwaje?
 
Umbali toka Dar es Salaam mpaka Tunduma ni 932 kilometers.

Nchi tajiri kama Saudia Arabia haina uwezo huo wa 8 lanes zaidi ya kujenga barabara ya mnyooko wa kuweza kuendesha kwa zaidi ya saa 9 bila kona kali kama hii hapa chini:

Highway 85 (Saudi Arabia): 1.116km (693mi)​

Highway 85 (Saudi Arabia)

Running through the heart of Saudi Arabia, the Highway 85 is 693 miles (1.116 km) of straightness close to the border with Jordan. This asphalted road links Jubail (in the Eastern province on the Persian Gulf coast of Saudi Arabia) and Turaif in Northern Borders Province. It’s a straight road running right through the desert for 9 h 15 min perfectly straight, but the corners are very long sweepers, when they do come about.

Mtandao wa barabara za USA, Canada, Australia

1659283842830.png

TRANS SIBERIA HIGHWAY

1659283929526.png
 
Kwa hiyo hakuna foleni dar?, kila siku nasota kweli kutoka Temeke kuja mlimani city halafu unadanganya adharani?

Pole ila binafsi kwangu foleni imepungua asilimia kubwa kwa ukanda wako huko temeke labda ndio bd imebaki labda sbb ya marekebisho ya huko
 
Sijawahi tumbuliwa na yeyote ila namdis kama Rais aliyeleta hasara za miaka na miaka hapa Tanzania..

Unadhani sgr kuna siku itakuja kuleta faida? Ndege je? Libwawa la Til.7 wakati angetumia Til.4 kupata megawati zaidi ya 3000 ..

Ni Rais Mjinga tuu tulipata na ingependeza angekufa mapema ila Mungu hapangiwi.

We chuki imekupa mpaka matatizo ya akili jsmani daah
 
Umbali toka Dar es Salaam mpaka Tunduma ni 932 kilometers.

Nchi tajiri kama Saudia Arabia haina uwezo huo wa 8 lanes zaidi ya kujenga barabara ya mnyooko wa kuweza kuendesha kwa zaidi ya saa 9 bila kona kali kama hii hapa chini:

Highway 85 (Saudi Arabia): 1.116km (693mi)​

Highway 85 (Saudi Arabia)

Running through the heart of Saudi Arabia, the Highway 85 is 693 miles (1.116 km) of straightness close to the border with Jordan. This asphalted road links Jubail (in the Eastern province on the Persian Gulf coast of Saudi Arabia) and Turaif in Northern Borders Province. It’s a straight road running right through the desert for 9 h 15 min perfectly straight, but the corners are very long sweepers, when they do come about.

Mtandao wa barabara za USA, Canada, Australia

View attachment 2310204

TRANS SIBERIA HIGHWAY

View attachment 2310210
Barabara hazijengwi kama pambo kama ile sgr feki..

Saudia haijashindwa bali wao hawajaona umuhimu wa Kiuchumi wa hiyo barabara kuwa njia 8 au 4..

Barabara ya TANZAM au T1 ndio barabara kuu ya Kiuchumi ya Tanzania,kwa hiyo ina sifa za kuwa japo njia 6 Kwa maana ijengwe dual carriage way pembeni ya hii ya Sasa na iwe Toll Road.
 
Ila ule mkeka wa kuanzia igawa umekaa vizuri sana..ukiwa unatembea usiku mambi yanakua safi kabisa...ila Igawa - Mbeya ni tatizo aisee
Serikali imesema itaijenga kwa njia 4 yote na tenda wametangaza..

Video 👇
 
Attachments

  • WAZIRI MBARAWA AFANYA BALAA ''HILI NI JAMBO LA HOVYO'' AMSHANGAZA RAIS SAMIA, ATOA MAAGIZO ( 7...mp4
    38.6 MB
Barabara hazijengwi kama pambo kama ile sgr feki..

Saudia haijashindwa bali wao hawajaona umuhimu wa Kiuchumi wa hiyo barabara kuwa njia 8 au 4..

Barabara ya TANZAM au T1 ndio barabara kuu ya Kiuchumi ya Tanzania,kwa hiyo ina sifa za kuwa japo njia 6 Kwa maana ijengwe dual carriage way pembeni ya hii ya Sasa na iwe Toll Road.

Waimarishe TAZARA kwani reli ndiyo mkombozi wa kiuchumi, kwa safari ndefu za nyanda za Morogoro, nyanda za juu kusini ili kubeba bidhaa mchanganyiko, makasha / makontena / abiria, madini n.k

https://www.mtt.gov.bh › content
GCC Railway

4 Jul 2022 — The GCC Rail Project is an integrated regional project that would cater for the transportation needs of the GCC countries
 
Back
Top Bottom