Kinana: Wakataeni wanaotumia udini, ukabila na ukanda kutaka uongozi

Tundu Lisu ndiye presidential material lkn tataizo tuna Tume Mtu badala ya Tume Huru.

NB. Tume ikiwa huru ccm nchi nzima wakatafute kazi nyingine
Huyu Mama asiogope anakubalika atupe Tume HURU ya uchaguzi huenda hata akatushinda kihalali ila amezungukwa na watu wagumu sana kuelewa.
 
Huyu Mama asiogope anakubalika atupe Tume HURU ya uchaguzi huenda hata akatushinda kihalali ila amezungukwa na watu wagumu sana kuelewa.
Ila anatumiwa vibaya atafute chama chake kuliko kile cha kaskazini cha mbowe la sivyo uraisi atausikia kweny Bomba.
 
Sijui kwanini nchi yetu haikui.

Miaka yote tunazungumzia yale yale.

Udini ukabila na ukanda.
 
Pwani na Tanga wametoa mawaziri wa ngapi? Arusha kuna Waziri hata wa dawa?
Kwahiyo unaona kuna ubaguzi wa Kimikoa? hiyo ni hoja dhaifu, Mikoa mingi haina hata makatibu wa Wizara.

Mawaziri huwa wanachaguliwa kwa vigezo fulani fulani na moja ni lazima wawe kwenye CCM Arusha hawanaga ujinga huo WanaArusha walishaichoka CCM miaka mingi.
 
Back
Top Bottom