Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

Kinana angetulia tu,kila mtu tanzania anajua jamaa ndo anamaliza tembo wetu,ukawa mkiingia ikulu huyu awe wa kwanza kushughulikiwa,ataeleza zile nyara zilikua za nani?alafu tushaamua tunataka mabadiliko
 
Mnatapatapa tu baada ya mgombea wenu kudhihirisha hana uwezo katika kukabiliana na changamoto za kazi ya urais.

Hana moral authority ya kupambana na ufisadi kwa sababu na yeye ni fisadi.

Hana uwezo kiafya.

Hana uwezo kifikra kutokana na madhara yatokanayo na ugonjwa unaomsumbua.

Serikali ya Marekani haihitaji kuambiwa na mtu wa nje kuhusu wasifu wa wagombea Urais wa Tanzania

Hivi kwa akili zako unadhani serikali ya Marekani hawafahamu wasifu wa Lowassa?

Hujasoma kwenye wikileaks kuhusu angalizo la serikali ya Marekani linalomuhusu Lowassa.

Pitia hapa ili usome wanachokisema Wamarekani

thibitisha kwa ushahidi tafadhali Ili nimpigie kura magufuli
 
report kama hizi ndio zinatia hasira zaidi,kwa sababu ndio unajua kuwa ccm hawapo kwenye kuendesha nchi kwa ridhaa ya wananchi,wao ni utapeli na kutumia mabavu na nguvu ya dola na mambo kama haya,hawajali chochote wao wanahisi ni lazima watawale tu, NA SISI TUNASEMA SASA BASI
 
Katika hali inayoashiria kuishiwa kwa hoja na sera, sasa CCM imeonesha hali halisi baada ya Katibu Mkuu wa CCM kuandika makala iliyojaa uongo na uchochezi dhidi ya Lowassa, ambayo imesambazwa nchini Uingereza na Marekani.

Wadau wametupa taarifa, tumeisoma, tunaifanyia kazi.




Aluta Continua!

#Mabadiliko2015


Tuache MUNGU aitwe MUNGU CCM imekufa huo ndio ukweli.
 
Inaelekea wana kichinjio chao wanataka kukitumia wakiona wanashindwa na hawataki mataifa makubwa yaingilie; bali niseme tu huu ni ujinga
watu wamekufa kwa makumi na maelfu ndani ya marekani, uingereza na kwingineko kwa vitendo vya kigaidi na wala nchi hizo hazijatambulika kama kile kinachoitwa "front for terorism". Zaidi ya yote hiyo hukumu inayosema uamsho ni magaidi na ni boko haram ipo? Je Lowassa ndiye anawafadhili? au mahakama ikiwaachia nayo itakuwa wafadhili wa boko haram?

Marekani wala sio wa kuambiwa na kinana, kama kina kitu wanajua in advance!!!!!!! Chezea uzalendo wa wenzetu wewe!!!!! hadi nawaoneaga wivu!!!!
 
Good comrade kinana for revealing the truth and the undercover agenda of ukawa
 

NDUGU WATANZANIA WENZANGU TUACHE KUCHEZEA UTULIVU WA NCHI YETU.

KWA WARAKA HUU WA KINANA NI HATARI KAMA HATAHOJIWA NA KUULIZWA NINI ANACHOKUSUDIA

USOME WARAKA WENYEWE.


September 10, 2015, 05:30 pm Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

By Abdulrahman Kinana
203


39

In 2013 two British volunteer teachers, Katie Gee and Kirstie Trup – both at the time teenagers – suffered a horrific attack while in Zanzibar, part of Tanzania in East Africa, when two men on motorbikes threw sulphuric acid in their faces. Flown back to London, surgeons removed from Katie Gee, the worst affected of the two, burnt skin from 30 per cent of her body. One year later, she was still required to wear a plastic mask to reduce the scarring covering her face.
Assisted by investigators from the British police at New Scotland Yard and Interpol, the Tanzanian authorities later arrested for the crime members of Uamsho or “Awakening”, an Islamic terrorist group with known links to Boko Haram. They have now been charged in court. Uamsho has a history of targeting foreigners and even Muslim and Christian religious leaders who do not support their aim of tearing apart the union of Tanzania through terrorism and converting Zanzibar into an extremist state.
ADVERTISEMENT

Even after the attacks on Gee and Trup, who were only in Zanzibar to help and others who have meant no harm to anyone, as we learnt in the first few weeks of election campaigns in Tanzania, Edward Lowassa, an opposition candidate, has clear sympathies to the aims of these extremists. For some years the status of Zanzibar within the United Republic of Tanzania has been an important question for the people of that island. A tiny minority advocates separation from the mainland with which it was united in the same year it overthrew the Arab regime. There is nothing wrong in holding perfectly legitimate political debates so long as they are pursued through peaceful, democratic means. But the question is, how long it would be possible for such discussion to remain peaceful if the opposition were to succeed in the upcoming Tanzanian General Election? Lowassa, who, after only 18 months as Prime Minister, was forced by the Parliament to resign from the post after a corruption scandal has promised the release of those who committed the acid attack. Allowing the suspected terrorists to walk free and, without doubt, resume their violent campaign would threaten the safety of ordinary Zanzibarians, mainland Tanzanians – most of whom are moderate whether they follow Islam or Christianity – and foreign visitors, many of whom hail from the UK.
Lowassa is proposing this purely as part of his breathtakingly cynical bid for the presidency. Rejected by voters in his attempt to win the nomination to be the candidate for the governing Chama Cha Mapinduzi (CCM) party he immediately decamped to the opposition to become theirs. Moderate opposition leaders, including Professor Ibrahim Lipumba, the chairman of the predominantly Zanzibarian Civic United Front have resigned, in protest, to support the government. We can only assume that Lowassa’s outreach to these extremists was a desperate response to the fact the majority of Zanzibarians in that long-standing stronghold for the opposition have been refusing to support his presidential bid.
It is hardly surprising they do not. This move has angered many Christian bishops who had called for government to swiftly prosecute extremists who are widely believed to have burnt churches and targeted Christians with violence, including acid attacks. It is clear that Lowassa’s interests do not lie with helping the people of Tanzania, but by helping himself to power, and the spoils he believes await him there. After all, the character of Lowassa is well known not just to Tanzanians but also to the West. Wikileaks revealed through one of many U.S. diplomatic cables that concern Lowassa exactly what the Americans think about him, when then U.S. Ambassador Mark Green stated: “Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years.”
Neither Tanzania nor the West can afford to have Tanzania as the new frontier of terrorism in Africa through Lowassa’s actions. Despite the terrifying attacks they have conducted over the years, they have not yet demonstrated they have the strength of other jihadist groups such as Al-Shabaab or Boko Haram. Indeed, by comparison, Tanzania has been mercifully peaceful and safe from the violence committed against our neighbours such as Kenya.
While who governs Tanzania is only a question the citizens of my country have the right to answer, it is right that Britain and its allies in the struggle against Islamic terrorism should be extremely concerned were Lowassa to win and action his promise to the extremists. When Al-Shabaab attacked Westgate Mall in Nairobi in 2013, the UK and US government issued travel advisories to its citizens against visiting many parts of Kenya. This has seriously affected their crucial tourism industry: it is without doubt that a revival of terror in Zanzibar would devastate the tourism industry of Tanzania and, in particular, that of Zanzibar on which the island is heavily dependent.
So the choice facing Tanzania at this coming election has ramifications both at home but also far beyond our own borders. If Lowassa and his opposition supporters win, a slim possibility as things stand today, then the country stands to become a new front for terrorists, just at the very time when they are facing defeat in other countries across Africa.
Kinana has served as the first Speaker of the East African Legislative Assembly, and Deputy Defence and Deputy Foreign Minister of Tanzania. He now serves as Secretary-General for the governing CCM party.
·
"Anayekuwa Gaidi kwako ,ni mpigania uhuru kwa mwingne" Jaji Simon Lukelelwa
 
Kinana kayajuaje yote hayo inawezekana yeye ndio mastermind alipanga ili kuhujumu wapinzani ,kama hiyo ni silaha yake sasa anaitumia,inafaa akamatwe ili atoe ushahidi juu ya aliyoyaandika na pia nilionalo ni tatizo na serikali ijayo ya UKAWA kwani itabidi ang'olewe meno kwa bisibisi ili kufidia pembe za ndovu.
 
Chadema inaposaidiwa na CCM kuyaongelea yaliyotakiwa kuwa ajenda yao ya ushindi!!

Kinana ni strategist na mpiganaji asiyesahaulika kwa kuibomoa Chadema.
 
Hana jipya.... anaanza kullamba ndala za wazungu sasa ili wamsaidie kuahinda ...hahahaha. wazungu sio watz uwadanganye hivyo kinana. Mzungu huenda na data za kisayansi....thibitisheni hao mashee je ni mafisadi au sio mafisadi... mbona hamuwasomei hukumu zao ili wathibitiki kama na magaidi!? Spend magaidi ila nataka haki itendeke
 
Ni uchochezi wa hali ya juu.
Hawa ndio wanamlaumu Lowassa kwa udini wakati nao wanachochea udini?
kinana alikutana na maaskofu wapi wakamwambia kuwa wana shida na uamsho?
yaani mabomu wapige wao makanisani; makanisa wachome wao na mapadri wawaue wao, leo waje kusingizia mashehe?
 
Slim possibility wakati huo huo unaomba huruma ya wazungu kwa kisingizio cha ugaidi Lowassa akishinda!!

Huyu jamaa hata alichoandika kinamuumbua mwenyewe!
 
watanzania wa siku izi sio wajinga serikali ya ccm imeshindwa kutatua kero za wazanzibari uamsho wamefundisha elimu ya uraia na dini yao hawajafanya tukio lolote la kigaidi
 
Wanataka wapewe hela na cia wawanunue wapinzani au wafanyie umafia.
 
Kinana kayajuaje yote hayo inawezekana yeye ndio mastermind alipanga ili kuhujumu wapinzani ,kama hiyo ni silaha yake sasa anaitumia,inafaa akamatwe ili atoe ushahidi juu ya aliyoyaandika na pia nilionalo ni tatizo na serikali ijayo ya UKAWA kwani itabidi ang'olewe meno kwa bisibisi ili kufidia pembe za ndovu.

Tuliza kipago wewe dawa ikuingie, kama ukawa ndo kulia tu ndo zenu.... Bora mpite hivi >>>>>>>>>>
#hapakazitu.
 
Back
Top Bottom